Changamoto juu ya ujenzi wa nyumba kwa tofali za kuchoma

Pamoja na yote mliyosema tofali za kuchoma ni imara kuliko tofali za aina yoyote ile maana hazina expire date, na pia kujengea udongo ni bora kuliko kujengea cement.... sababu ni ile ile tope halina expire date
 
Kuta zake zinahimili mitikisiko mikubwa?? Mana tofali kuwa bora haimaanishi itajenga kuta bora
 
Back
Top Bottom