Pamoja na yote mliyosema tofali za kuchoma ni imara kuliko tofali za aina yoyote ile maana hazina expire date, na pia kujengea udongo ni bora kuliko kujengea cement.... sababu ni ile ile tope halina expire date