TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Kupitia Uzi huu tutakuwa tukipost changamoto mbalimbali zinazojitokeza vituoni kwenye uandikishaji wa maboresho ya daftari la kudumu la wapiga Kura.
Ni ni kuondoa changamoto zilizopo ili shughuli ifanyike kirahisi na kirafiki zaidiWatu wa dar mnajifanya special sana mikoa yote daftari limepita bila shida ila limefika dar ndio mnaanza ujuaji
Watu wengi wa dar ni wa hovyo hovyo
Sio rahisi hivyo ...Tunalazimishwa tukishajiandikisha twende kwa mjumbe wa nyumba kumi ambaye ni kada wa CCM, akachukue namba za kadi zetu. Huu ni uchaguzi mwingine wa awali
Ndio tunachitangaziwa hapa kituoni, sijui huo ubishi wako imejengwa kwenye misingi GANI?Sio rahisi hivyo ...
Dar walioelimika ni wengi, mtu akiona changamoto anaisema hadharani na wengi wao walau wanajua haki zao.Watu wa dar mnajifanya special sana mikoa yote daftari limepita bila shida ila limefika dar ndio mnaanza ujuaji
Watu wengi wa dar ni wa hovyo hovyo