A
Anonymous
Guest
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha Kolandoto Colage of Health Science kilichopo Shinyanga Kolandoto, tunapitia changamoto zakutosha sana wanafunzi nitaje baadhi;
1. Wanafunzi tumekuwa tukifelishwa na waalimu makusudi kisa bifu, au mahusiano ya kimapenzi baina ya waalimu na wanafunzi na utoaji wa rushwa za ngono.
2. Walimu wamekuwa vinara wakutuchongea kwa mkuu wa chuo ilihali tuondolewe kwenye mfumo wa taasisi ya Elimu.
3. Tumekuwa wakupewa vitosho, majungu na usumbufu kwa wazazi tukidaiwa kuwa hatuna akili yakusoma MEDICINE (kuchongewa)
4. Tumekuwa watu wakutosikilizwa na yeyote tukiwa na shida au changamoto yeyote iwemwalimu au mlezi ikiwemo wakuu wa idara.
5. Kutembezwa kwa magoti, au kupigwa makofi na kutafutiwa ugomvi ilituonekane tunawavunjia heshima na kuvunja Sheria za Chuo.
6. Tunafelishwa makusudi nakulipishwa pesa za mitihani makusudi ikiwemo incomplete [200,000/=] Supplementary [200,000/=]
👆 Hizo ni baadhi tu ya changamoto tunazopitia wanafunzi wa Diploma MEDICINE kwenye chuo hiki mambo haya yanapewa kipaumbele na mkuu wa Elimu (Academic Master) Mr. Ian akifwatiwa na wakuu wa idara, kiufupi walimu hawafwati Sheria za Shule na kuja na Sheria zao (By Laws) kitu ambacho kinatukandamiza sana Wanafunzi/ Wanachuo kwenye ngazi ya diploma upande wa MEDICINE.
Nipende kumalizia kwakusema ninaiomba serikali na taasisi binafsi hususani za elimu zichunguze vyuo hivi vya Diploma kwani vimekuwa ni Taasisi za bishara na sio Taasisi za Elimu, na zinaturudisha sana sana nyuma watu tunasoma kwa malengo na wazazi wetu wanateseka sana kutafuta ada na sisi tunasoma kwa shida sana ila watu wanajali maslahi yao binafsi.
Mungu atutetee kwakweli minachoka sana, Mungu awabariki nyote WATANZANIA. ❤️🇹🇿🙏🏿🫂