A
Kulombwa lazima kama sio na lecture basi majunk wenzake.Hicho chuo nina kimchepuo changu kinasoma hapo ..
Anyway wasimkule sana.
Jinsi unavyoandika vibaya,nasita kuamini kama unaandika kweliMimi ni mwanafunzi wa chuo cha Kolandoto Colage of Health Science kilichopo Shinyanga Kolandoto, tunapitia changamoto zakutosha sana wanafunzi nitaje baadhi;
1. Wanafunzi tumekuwa tukifelishwa na waalimu makusudi kisa bifu, au mahusiano ya kimapenzi baina ya waalimu na wanafunzi na utoaji wa rushwa za ngono.
2. Walimu wamekuwa vinara wakutuchongea kwa mkuu wa chuo ilihali tuondolewe kwenye mfumo wa taasisi ya Elimu.
3. Tumekuwa wakupewa vitosho, majungu na usumbufu kwa wazazi tukidaiwa kuwa hatuna akili yakusoma MEDICINE (kuchongewa)
4. Tumekuwa watu wakutosikilizwa na yeyote tukiwa na shida au changamoto yeyote iwemwalimu au mlezi ikiwemo wakuu wa idara.
5. Kutembezwa kwa magoti, au kupigwa makofi na kutafutiwa ugomvi ilituonekane tunawavunjia heshima na kuvunja Sheria za Chuo.
6. Tunafelishwa makusudi nakulipishwa pesa za mitihani makusudi ikiwemo incomplete [200,000/=] Supplementary [200,000/=]
π Hizo ni baadhi tu ya changamoto tunazopitia wanafunzi wa Diploma MEDICINE kwenye chuo hiki mambo haya yanapewa kipaumbele na mkuu wa Elimu (Academic Master) Mr. Ian akifwatiwa na wakuu wa idara, kiufupi walimu hawafwati Sheria za Shule na kuja na Sheria zao (By Laws) kitu ambacho kinatukandamiza sana Wanafunzi/ Wanachuo kwenye ngazi ya diploma upande wa MEDICINE.
Nipende kumalizia kwakusema ninaiomba serikali na taasisi binafsi hususani za elimu zichunguze vyuo hivi vya Diploma kwani vimekuwa ni Taasisi za bishara na sio Taasisi za Elimu, na zinaturudisha sana sana nyuma watu tunasoma kwa malengo na wazazi wetu wanateseka sana kutafuta ada na sisi tunasoma kwa shida sana ila watu wanajali maslahi yao binafsi.
Mungu atutetee kwakweli minachoka sana, Mungu awabariki nyote WATANZANIA. β€οΈπΉπΏππΏπ«
Vyuo vya afya vya kati vingi vinaendesha kama sekondari iliyochangamka adhabu za kufyeka,kuchimba mashimo na zingine za kukomoana zipo sana.Uchunguzi ufanyike vyuo vya afya vina wendawazimu wanaitwa wakufunzi sijui wakuu wa vyuo. Mambo ya kipuuzi mengi yanafanyika huo unyanyasaji wa kijinsia ndio usiseme. Haiwezekani hizi kesi ni kwa hivyo tu.
Mwanzoni nilikuwa nadai wanafunzi ni wavivu mpaka pale niliposhuhudia chuo kimoja kipo Mtwara uhayawani unaofanyika.
Jana nilikuwa nacho hapa Ibadakuli wakat unapiga piga sana mkuuHicho chuo nina kimchepuo changu kinasoma hapo ..
Anyway wasimkule sana.
Ahaha safi sana mkuu, vipi ulimuachia mpunga wa kutosha?? Nategemea wiki hii hatonipiga mizinga.Jana nilikuwa nacho hapa Ibadakuli wakat unapiga piga sana mkuu
Kuna rafiki yangu alisoma Mpwapwa TC miaka hiyo anasema na wenyewe walikuwa kama wako sekondari tu. Kuvaa sare, adhabu ya mazingira, kupanga foleni ya chakula, kunyanyaswa na wakufunzi, nk.Vyuo vya afya vya kati vingi vinaendesha kama sekondari iliyochangamka adhabu za kufyeka,kuchimba mashimo na zingine za kukomoana zipo sana.
Hao wameua kuzungumza ila kuna vingi tu hawasemi.
Yeah zile jezi wanazovaa vimefanya kusiwepo na heshima.Kuna rafiki yangu alisoma Mpwapwa TC miaka hiyo anasema na wenyewe walikuwa kama wako sekondari tu. Kuvaa sare, adhabu ya mazingira, kupanga foleni ya chakula, kunyanyaswa na wakufunzi, nk.
TTC hawa sijui kama walishabadirika ndio sehemu ya Hovyo sana sana kuwahi kushuhudiaKuna rafiki yangu alisoma Mpwapwa TC miaka hiyo anasema na wenyewe walikuwa kama wako sekondari tu. Kuvaa sare, adhabu ya mazingira, kupanga foleni ya chakula, kunyanyaswa na wakufunzi, nk.
Du hawa nao ni ma daktari watarajiwa? Kaazi kweli kweli, Kama mnashindwa kutatua matatizo madogo namna hii mtaweza kupambana na magonjwa?Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha Kolandoto Colage of Health Science kilichopo Shinyanga Kolandoto, tunapitia changamoto zakutosha sana wanafunzi nitaje baadhi;
1. Wanafunzi tumekuwa tukifelishwa na waalimu makusudi kisa bifu, au mahusiano ya kimapenzi baina ya waalimu na wanafunzi na utoaji wa rushwa za ngono.
2. Walimu wamekuwa vinara wakutuchongea kwa mkuu wa chuo ilihali tuondolewe kwenye mfumo wa taasisi ya Elimu.
3. Tumekuwa wakupewa vitosho, majungu na usumbufu kwa wazazi tukidaiwa kuwa hatuna akili yakusoma MEDICINE (kuchongewa)
4. Tumekuwa watu wakutosikilizwa na yeyote tukiwa na shida au changamoto yeyote iwemwalimu au mlezi ikiwemo wakuu wa idara.
5. Kutembezwa kwa magoti, au kupigwa makofi na kutafutiwa ugomvi ilituonekane tunawavunjia heshima na kuvunja Sheria za Chuo.
6. Tunafelishwa makusudi nakulipishwa pesa za mitihani makusudi ikiwemo incomplete [200,000/=] Supplementary [200,000/=]
π Hizo ni baadhi tu ya changamoto tunazopitia wanafunzi wa Diploma MEDICINE kwenye chuo hiki mambo haya yanapewa kipaumbele na mkuu wa Elimu (Academic Master) Mr. Ian akifwatiwa na wakuu wa idara, kiufupi walimu hawafwati Sheria za Shule na kuja na Sheria zao (By Laws) kitu ambacho kinatukandamiza sana Wanafunzi/ Wanachuo kwenye ngazi ya diploma upande wa MEDICINE.
Nipende kumalizia kwakusema ninaiomba serikali na taasisi binafsi hususani za elimu zichunguze vyuo hivi vya Diploma kwani vimekuwa ni Taasisi za bishara na sio Taasisi za Elimu, na zinaturudisha sana sana nyuma watu tunasoma kwa malengo na wazazi wetu wanateseka sana kutafuta ada na sisi tunasoma kwa shida sana ila watu wanajali maslahi yao binafsi.
Mungu atutetee kwakweli minachoka sana, Mungu awabariki nyote WATANZANIA. β€οΈπΉπΏππΏπ«
Kwa nini mnapang'ang'ania hapo?Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha Kolandoto Colage of Health Science kilichopo Shinyanga Kolandoto, tunapitia changamoto zakutosha sana wanafunzi nitaje baadhi;