Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
min -me nimetimiza ahadi mada hii hapa..!
Kila kitu huwa na mwanzo huwa na chanzo, vijana walianza kulalamika siku nyingi wakitafuta ushauri huku na kule.. Wengi walikatishwa tamaa na aina ya ushauri waliopewa na wakubwa.. Haukuwa na weledi
Masaibu yao hasa yalikuwa kwenye vipengele hivi
Kushindwa kuwaridhisha kingono wapenzi wao
Uraibu wa punyeto
Hisia za ushoga
Hofu na kukosa kujiamini mbele za watu
Uwezo mdogo wa kutongoza
Uwezo mdogo wa kushindwa kumhudumia mwanamke
Kuchapiwa na wenye uwezo umaarufu nk
Haya yakapita bila ushauri wa maana.. Lakini hapohapo likaibuka la kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume ! Dawa za asili na hata za kigeni.. Malalamiko yalipungua kwa kiasi kikubwa lakini ilikuwa suluhu ya muda mfupi tuu
Likaja la mauaji ya wapenzi, chanzo kikubwa kikiwa ni uaminifu na usaliti hili lilitrend sana miaka hii miwili iliyopita sambamba na vijana wengi kuingia kwenye ushoga
Mwaka huu wa 2023 mambo yamegeuka ama yameongezeka.. Hakuna kuomba ushauri tena, hakuna kutumia dawa tena bali ni kampeni ya kataa ndoa! Hili nalo litapita lakini sijui litaacha madhara kiasi gani kwa vijana na pia baada ya hili sijui litakuja lipi lingine
Kwenye mada zilizopita nimelaumiwa kwa kuishi kikale kwenye usasa na kwamba nashindwa kuona uhalisia wa maisha ya leo ambayo ni tofauti kabisa na ya jana.. Siwalaumu kwakuwa vijana wa sasa ni wasahaulifu kupita maelezo maana kama ni mada za maonyo na ushauri nimeandika sana
Baada ya kusema hayo hebu tuangalie changamoto wanazokutana nazo vijana wa kisasa mpaka wanaona ndoa ni kitu kisichofaa tena
1. Ukakamavu na afya ya mwili
Ukakamavu na afya njema ya mwili huchangia ukakamavu na afya ya misuli ikiwemo uume
Vijana wengi siku hizi si wakakamavu kutokana na usasa na aina ya vyakula na vinywaji
Zamani tulilima mashamba makubwa ya familia ndugu na jamaa siku hizi ni vijana wangapi wanaweza kulima hata roho heka?
Zamani hakukuwa na bodaboda hivyo tuliyembea muda mrefu hata kilometres 30 kwenda na kurudi, siku hizi kilometre moja kijana anapanda boda
Zamani hatukuwa na vyakula vya kusindika siku hizi kila kona ndio fasheni
Zamani vinywaji vilikuwa ni vya kujenga mwili siku hizi vinywaji vinamaliza nguvu
Hakuna kitu kinaleta afya ya mwili na misuli kama mzunguko mzuri wa damu mwilini
Sasa vijana wetu wa kisasa
Hamfanyi kazi za jasho
Chakula chenu chips kuku broiler na mayai yake
Vinywaji vyao ni hivi vya kuua nguvu ..ni haki kukataa ndoa
Nitaendelea