Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hakuna mashoga waliooa?Kampeni kataa ndoa ni mlango wa pili kuhalalisha na kusimika mahusiano ya jinsia moja (USHOGA) niulize kwann??
Kampeni hii inazoofisha thamani ya mwanamke kwa mwanaume na kukuza thamani ya mahusiano ambayo kwa mwanzo yanaonesha urafiki wenye thamani zaidi ambapo hupelekea mapenzi ya jinsia moja (hii imekaa kiroho zaidi)
Hivyo tunaona nguvu kuubwa ya halalisha ushoga inatangazwa hadhari jua ya kwamba sirini walishamaliza mikakati yao kama mjuavyo mzungu (SHETANI) hakurupukagi.
NB. Nilioa ndoa ikavunjika na nikweli wanawake wanachangamoto lakini si kwamba nami ni mkamilifu nna zangu na bado natamani kuoa tena kunako majaaliwa
Mkuu kwa sasa hao wanaokosea wamekuwa ni wengi kuliko wanaopatia. Na endapo wamekosea ADHABU na Madhara kwa Mwanaume inakuja kuwa ni kubwa sana kuliko upande wa Mwanamke.Sio zote bali kwa wale waliokosea na tunakosea mengi sana kwenye maisha
Mkuu hii ni absolutely 💯Mkuu kwa sasa hao wanaokosea wamekuwa ni wengi kuliko wanaopatia. Na endapo wamekosea ADHABU na Madhara kwa Mwanaume inakuja kuwa ni kubwa sana kuliko upande wa Mwanamke.
Na kupatia kuoa au kukosea kuoa hakuna Formular constant, Lolote linaweza kukutokea..
Sasa Vijana wameona kinachofanya wapoteze zaidi endapo watakosea ni hilo swala la KUFUNGA NDOA(Cheti). hivyo wanaona ni bora waishi tu na Mwanamke ili kama itatokea wamekosea basi Madhara yawe kidogo kwa upande wao. wanajitetea kuokoa nafsi zao na SONONA, Depression nk.
Wao wanaamini USHUJAA ni kutatua tatizo kabla ya Madhara, Wewe unaamini USHUJAA ni kupata madhara halafu ukayatatua. Je?, SHUJAA ni anayezuia usianguke, au anaesubiri uanguke akuokote.?
Sometimes UOGA wa Mabaya huwa pia ni Njia Nzuri ya Kujilinda.
Ujinga mtupu nadhani nimekuelewa vizuri ulichozungumza.
Ndoa , haki swa na ushoga ni mtu na ndugu yake wakataa ndoa ni watu wa mfumo dume , ambao mfumo dume ukirud hao mashoga tutawachinja mchna kweupe.Nawaona hawa kataa Ndoa na wale wa TikTok wa kujificha kwenye haki sawa kwa wote hawana tofauti
Nimeandika madokezo mengi lakini naona hukuyasoma yote ..hii sio mada ya lawama bali ni ya kuelezea changamoto za vijana mpaka wanafikia pakuja na kampeni za kataa ndoaMkuu mshana nmesoma kwa umakin mno , kiufupi tu umemaanisha vijna hawana nguvu za kiume ,je kwanini hao wake zenu ( mashangazi) wanapenda vijana wadogo wa sasa? , Na kwa nini nyie wazamni mlitumia mbinu ya ukeketaji kama njia ya kumtuliza mwanamke kwenye ndoa? Kama mlikua na nguvu za kutosha kwa nini mlitumia njia hii?, Tatu asilimia kubwa ya wakataa ndoa mfano mimi nina mke nipo nae mwaka wa 4 huu , wimbo wake kila sku anataka ndoa , mimi nikamwambia mpka naingia kaburini sitafunga ndoa kama hataki asepe ila naona ndo kwanza yupo apa anatoa manguo yangu machafu niliyosotea kazini wiki nzima[emoji16][emoji16] , mkuu mshana nilitegemea ungetoa matatzo ya hizi ndoa kwa upande wa mwanaume inapotokea ndoa inavunjwa hasara atakazo pata , kiufupi tu bado mkuu mshana unaona wakataa ndoa ni mashoga wakati wakataa ndoa hawajasema wanakataa mwanamke , wao walichokataa ni kufunga ndoa na huyo mwanamke kwa sababu sheria za ndoa sio rafiki ,imewapa viburi mno wanawake zaidi.
Kataa ndoa,Sehemu ya tatu
Tafsiri potofu, kengeufu kuhusu ndoa
Kama nilivyosema ndoa ni ya watu wawili wenye akili timamu na wanaojitambua na kuamua kuingia kwenye hiyo ndoa
Sasa lazima kujaliana, kupendana, kuheshimiana, kuvumiliana kuwepo.. Hakuna mkamilifu kati ya wawili kila mmoja ana mapungufu yake.. Chukua mazuri ya mwenzako na mapungufu yake yapime kama yanabebeka ama la na kama yanarekebishika.. Wengi hushindiwa hapa
Mwanamke ni kiumbe dhaifu sana linapokuja kwenye swala zima la hisia na upendo ni mwepesi kuumia lakini pia ni mwepesi kusamehe na kuendelea kuvumilia
Anapofika mwisho wa uvumilivu ndio naye huamua kufanya yanayoitwa usaliti.. Pole moja tu kwa mtu baki inaweza kuhamisha hisia zake zote
Mpe mwanamke kila kitu lakini usiache kumtimizia mahitaji yake ya kingono, kumuonesha upendo, heshima na kumjali..
Kuna wanawake ni 'wabaya' kutokana na background yao! Hawajawahi kupata upendo ama heshima.. Wakichukuliwa ni chombo cha starehe ..hawa ukiingia nao kwenye ndoa unapaswa kuwekeza hasa hisia zako kwake ukikosea tuu kidogo kampeni ya kataa ndoa inakuhusu
Ngoja nisubiri umalize kabsa tuone kama kuna faida tutapata kwnye ndoa ya cheti na pete .Nimeandika madokezo mengi lakini naona hukuyasoma yote ..hii sio mada ya lawama bali ni ya kuelezea changamoto za vijana mpaka wanafikia pakuja na kampeni za kataa ndoa
Nawaona hawa kataa Ndoa na wale wa TikTok wa kujificha kwenye haki sawa kwa wote hawana tofauti