Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa

Kama wanawake wangekuwa na tabia njema, utii, uvumilivu, heshima, upole, ucha MUNGU na n.k.. basi hakukuwa na haja ya hii kampeni kataa ndoa.
lakin wanawake wenyewe wana mambo ya ajabu kinoma wana tamaa ya pesa, tena na uchumi huu jinsi ulivyo alooooh PEACE OF MIND ABOVE ANYTHING ELSE..

N.B: KUWA MCHA MUNGU SIO KWENDA KANISANI TU AU KUMTAJATAJA MUNGU, mengi yanahusika.
 
Kampeni kataa ndoa ni mlango wa pili kuhalalisha na kusimika mahusiano ya jinsia moja (USHOGA) niulize kwann??
Kampeni hii inazoofisha thamani ya mwanamke kwa mwanaume na kukuza thamani ya mahusiano ambayo kwa mwanzo yanaonesha urafiki wenye thamani zaidi ambapo hupelekea mapenzi ya jinsia moja (hii imekaa kiroho zaidi)
Hivyo tunaona nguvu kuubwa ya halalisha ushoga inatangazwa hadhari jua ya kwamba sirini walishamaliza mikakati yao kama mjuavyo mzungu (SHETANI) hakurupukagi.
NB. Nilioa ndoa ikavunjika na nikweli wanawake wanachangamoto lakini si kwamba nami ni mkamilifu nna zangu na bado natamani kuoa tena kunako majaaliwa
Kwani hakuna mashoga waliooa?
 
Sio zote bali kwa wale waliokosea na tunakosea mengi sana kwenye maisha
Mkuu kwa sasa hao wanaokosea wamekuwa ni wengi kuliko wanaopatia. Na endapo wamekosea ADHABU na Madhara kwa Mwanaume inakuja kuwa ni kubwa sana kuliko upande wa Mwanamke.

Na kupatia kuoa au kukosea kuoa hakuna Formular constant, Lolote linaweza kukutokea..

Sasa Vijana wameona kinachofanya wapoteze zaidi endapo watakosea ni hilo swala la KUFUNGA NDOA(Cheti). hivyo wanaona ni bora waishi tu na Mwanamke ili kama itatokea wamekosea basi Madhara yawe kidogo kwa upande wao. wanajitetea kuokoa nafsi zao na SONONA, Depression nk.

Wao wanaamini USHUJAA ni kutatua tatizo kabla ya Madhara, Wewe unaamini USHUJAA ni kupata madhara halafu ukayatatua. Je?, SHUJAA ni anayezuia usianguke, au anaesubiri uanguke akuokote.?

Sometimes UOGA wa Mabaya huwa pia ni Njia Nzuri ya Kujilinda.
 
Ujinga mtupu nadhani nimekuelewa vizuri ulichozungumza.
Mkuu hii ni absolutely 💯

Sasa mtoa uzi uje ujibu huku
Shujaa anayezuia kabla au shujaa ni yule anay solve baada ya matatzo?
 
Mkuu mshana nmesoma kwa umakin mno , kiufupi tu umemaanisha vijna hawana nguvu za kiume ,je kwanini hao wake zenu ( mashangazi) wanapenda vijana wadogo wa sasa? , Na kwa nini nyie wazamni mlitumia mbinu ya ukeketaji kama njia ya kumtuliza mwanamke kwenye ndoa? Kama mlikua na nguvu za kutosha kwa nini mlitumia njia hii?, Tatu asilimia kubwa ya wakataa ndoa mfano mimi nina mke nipo nae mwaka wa 4 huu , wimbo wake kila sku anataka ndoa , mimi nikamwambia mpka naingia kaburini sitafunga ndoa kama hataki asepe ila naona ndo kwanza yupo apa anatoa manguo yangu machafu niliyosotea kazini wiki nzima[emoji16][emoji16] , mkuu mshana nilitegemea ungetoa matatzo ya hizi ndoa kwa upande wa mwanaume inapotokea ndoa inavunjwa hasara atakazo pata , kiufupi tu bado mkuu mshana unaona wakataa ndoa ni mashoga wakati wakataa ndoa hawajasema wanakataa mwanamke , wao walichokataa ni kufunga ndoa na huyo mwanamke kwa sababu sheria za ndoa sio rafiki ,imewapa viburi mno wanawake zaidi.
 
Sehemu ya tatu
Tafsiri potofu, kengeufu kuhusu ndoa
Kama nilivyosema ndoa ni ya watu wawili wenye akili timamu na wanaojitambua na kuamua kuingia kwenye hiyo ndoa
Sasa lazima kujaliana, kupendana, kuheshimiana, kuvumiliana kuwepo.. Hakuna mkamilifu kati ya wawili kila mmoja ana mapungufu yake.. Chukua mazuri ya mwenzako na mapungufu yake yapime kama yanabebeka ama la na kama yanarekebishika.. Wengi hushindiwa hapa

Mwanamke ni kiumbe dhaifu sana linapokuja kwenye swala zima la hisia na upendo ni mwepesi kuumia lakini pia ni mwepesi kusamehe na kuendelea kuvumilia
Anapofika mwisho wa uvumilivu ndio naye huamua kufanya yanayoitwa usaliti.. Pole moja tu kwa mtu baki inaweza kuhamisha hisia zake zote

Mpe mwanamke kila kitu lakini usiache kumtimizia mahitaji yake ya kingono, kumuonesha upendo, heshima na kumjali..
Kuna wanawake ni 'wabaya' kutokana na background yao! Hawajawahi kupata upendo ama heshima.. Wakichukuliwa ni chombo cha starehe ..hawa ukiingia nao kwenye ndoa unapaswa kuwekeza hasa hisia zako kwake ukikosea tuu kidogo kampeni ya kataa ndoa inakuhusu
 
Nimeandika madokezo mengi lakini naona hukuyasoma yote ..hii sio mada ya lawama bali ni ya kuelezea changamoto za vijana mpaka wanafikia pakuja na kampeni za kataa ndoa
 
Kataa ndoa,
Ndoa ni utapeli
 
Nimeandika madokezo mengi lakini naona hukuyasoma yote ..hii sio mada ya lawama bali ni ya kuelezea changamoto za vijana mpaka wanafikia pakuja na kampeni za kataa ndoa
Ngoja nisubiri umalize kabsa tuone kama kuna faida tutapata kwnye ndoa ya cheti na pete .
 
Niliona clip moja kule ulaya wanawake wanatembea kwa kuandamana uchi barabarani wakitaka wanaume wawaowe,nikajuwa hawa wazungu wamechanganyikiwa,lakini kwa mwendo huu na hizi kampeni za vijana kataa ndoa,soon tutashuhudia haya mambo na huku kwetu...
 
Back
Top Bottom