Wizara ya miundo mbinu , kupitia TARURA , Tunaomba msaada Barabara hii muiangalie , kwanza hatarishi na madimbwi yamekua makubwa ,mazalia ya mbu na kila uchafu. Mkandarasi alianza kazi, mwisho wa siku akatoa kifusi, hajarudisha na hakuna kinachoendelea.
Tunaomba TARURA, waje waiangalie na mkandarasi amalize kazi yake.
Asante wakazi wa Miti mirefu
Tunaomba TARURA, waje waiangalie na mkandarasi amalize kazi yake.
Asante wakazi wa Miti mirefu