Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
GARI NI YA MDADA"Ac unaganda"
"gari haimjui fundi"
"..yakuwasha nakuondoka"
HAINA MADENI
PIGA SIMU MOJA UJE UCHUKUE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GARI NI YA MDADA"Ac unaganda"
"gari haimjui fundi"
"..yakuwasha nakuondoka"
Umeshasema kwa mwarabu.alikuuzia ikiwa imetulia.sio ya janja janja.yupo dalal mmoj hiv yeye kila.gari ya mumama. Ni uongo mara a.c unagandaHata Yale ya yard mengi Yana ujanja ujanja tu, pote ni kubahatisha, gari za mikononi kwa watu unaweza ukapata iliosimama mpaka ukashangaaa! Nilinunua matako ya nyani kwa mwarabu mmoja hivi kwa 14.5m nikakaa nayo wiki 2 nikaiuza 24m kwa mtu wangu wa karibu sana na iko imara balaa, mpaka sasa ina km 68,000 haina shida yeyote.
Duuh pole sanaa...!!Changamoto sana, Toyota fielder ilikufa hivi hivj naona, saev hii Nissan Bluebird QR 20 ingawa ni plate no. D ila natamani nipate mtu achukue hata kwa 3m,
mawazo kila siku
Nilitaka kusema kuhusu hilo. Mie ikiwa na tatizo la kurekebisha kwenye injini narekebisha gari ikigongwa napiga rangi yote. Nashangaa mtu anasema gari haijarudiwa rangi. Kwani kupiga rangi ni kosa? Bongo kuna ukosefu mkubwa sana wa elimu