Changamoto ya kununua magari ya mkononi

Umeshasema kwa mwarabu.alikuuzia ikiwa imetulia.sio ya janja janja.yupo dalal mmoj hiv yeye kila.gari ya mumama. Ni uongo mara a.c unaganda
 
Changamoto sana, Toyota fielder ilikufa hivi hivj naona, saev hii Nissan Bluebird QR 20 ingawa ni plate no. D ila natamani nipate mtu achukue hata kwa 3m,
mawazo kila siku
Duuh pole sanaa...!!
 
Nilitaka kusema kuhusu hilo. Mie ikiwa na tatizo la kurekebisha kwenye injini narekebisha gari ikigongwa napiga rangi yote. Nashangaa mtu anasema gari haijarudiwa rangi. Kwani kupiga rangi ni kosa? Bongo kuna ukosefu mkubwa sana wa elimu
 
Usinunue gari la mkononi kama hujawahi kumiliki gari kabisa, ukiwa na uzoefu na magari kidogo walau unaweza kujua abs za magari na changamoto zake.

Nimewahi kununua gari kwa mtu mara yangu ya Kwanza kununua gari, hakuna rangi niliacha kuona, nilikuwa namba za mafundi kila kona ya jiji mpaka Msata.
 
Naomba kuulza kwan hamna kampun ambayo unachagua gar unakuwa unalpia mdgo mdgo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…