Changamoto ya kupata mke

Kwa kweli serikali inapaswa ingilie kati hili jambo! Teh teh teh teh
 
Nyie wenye kiasi cha mboga na kazi ya uhakika sanyingine mnajua na maringo flani hivi
 

Mkuu nashukuru kwa kunitia moyo, maana nilijiwekea limit nisivuke miaka 30...lakini mpaka sasa sioni hilo kutimia!!
 
Dah hiyo ni changamoto sana siku izi, usishangae hauko peke yako...yeyote aliye makini na anataka mwanamke makini maishani atakiri ni changamoto japo inawezekana kabisa, endelea ivo ivo kutafuta usikate tamaa japo uvumilivu ni muhimu sana
Shukrani mkuu..ni changamoto haswa labda mtu uamue tu kubeba yeyote!!
 
Na kitu kingine ni kwamba
 
Naamini ukitaka kuoa ndugu wa kike unayemwamini anaweza kukutafutia. Kumbuka mke hupendwa na si yeye kupenda
 
Mkuu hii changamoto ni kubwa sana. Wapo ambao wamo ndani ya ndoa mapema tu lakini ukweli ni kuwa wengi circumstances ziliwalazimisha kufika huko. Ila kwa wale wanaotaaka MKE ukweli ni kuwa imewachukua muda kufika huko. Mungu ni mwema mkuu usijali ipo siku utakuwa na yule umpendaye
 
Sugua got kwa Mungu. No way out
 
Hivi kwani kuishi na furaha ni lazima kuoa? kabla ya kufanya maamauzi ya kuoa ni vema ukafikiriaa haya, pengine ndoa yaweza kuwa kikwazo ktk maisha yako ya kila siku.
Kwahiyo unamaanisha asioe ...kweli we ni ibilisi a.k.a shaitwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…