Changamoto ya kupata mke

hi story kama.zamani nilikuwa naona kupata mke kazi rahisi sana.imefika wakati sasa nataka nioe ndo nagundua kumbe kazi ngumu kweli
 
Kweli Mkuu ni ngumu sana
 
Atafutae hachoki
Si ajabu nae huko aliko anakutafuta ubavu wake ulipo... Ni kuvuta subira tu

Good things take time
 
Hata hao single moms bado wanastahili kuolewa. Kuwa kwao na mtoto isiwe kigezo cha kukwepwa. Wako wanaojielewa na kuwa na mtoto kwa ilitokea isivyotarajiwa.
Ni kweli usemayo...

Single mothers haimaanishi amepunguza ubora wake
 
Mkuu wanawake wote hao? Tatizo letu km mda bd wa kuoa tunawaburuza sana hawa mabint Na kuwaacha unapofika mda wa kuoa unatafuta ambaye hajafanywa upuuz huu mwanamke anabadilika tu kulingana na msimamo wako hata km tabia yake ilikuwa mbovu na yote ss wanaume huwa ndio tunasababsha utakuta ke ameachwa Na kila mwanaume na wote walio mpitia hawakua serious kwenye ndoa
Ushaur kwa dunia ya sasa huna haja ya kuchagua sana tafta utakae
Mwona ni mzur kwako kimaumbile thn mwambie suala la ndoa tabia huwa inabadilika tu ukichagua sana utapata koroma
 
Angalau hii inamake sense...asante mkuu!!
 
Haya mkuu,15-25yrs tunawaburuza,,,,
kuanzia 26yrs tunatafuta ambaye hajaburuzwa ni shida sana
 
Mimi nilikuwa natamani sana kuoa hila kwa sasa nimegairi maana nilipanga mwaka huu nioe hila ngoja nivumilie kwanza
 
Hivi kwani kuishi na furaha ni lazima kuoa? kabla ya kufanya maamauzi ya kuoa ni vema ukafikiriaa haya, pengine ndoa yaweza kuwa kikwazo ktk maisha yako ya kila siku.
Tambua unapowaza kuoa wengine wanangojea kwa hamu kwani ndilo pori nafuu la kufingulia zipu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…