A
Uzi ufungwe.Kimsingi hapo umeandaliwa kuwa mwalimu wa masomo ya amali(ufundi) sio mhandisi per se ndio sababu inawawia ngumu kusajiliwa. Vyuo wakati mwingine ili kuwatia moyo msikimbie kozi wanaweza wapa ahadi kama hiyo hata kama bodi husika ya usajili haina muongozo unaohusu kada yenu.
😂😂😂😂😂Jifunze tofauti kati ya MHANDISI na FUNDI MCHUNDO.
ERB wapo sahihi
Technician pia wanasajiliwa ERB, ila hao wa technical education sio engineering ni education degreeWee sio Engineer, ni Technician.
ERB wako sahihi kabisaaa. Lol
HatariiiTechnician pia wanasajiliwa ERB, ila hao wa technical education sio engineering ni education degree
Kwa upande wa hiyo coaurse masomo yote ya engneering unayasoma sambamba na ya walee wanao soma engneering ya kawaida ispokua utofaut unaongezewa masomo ya education field piaa unafanya tano tatu za engneering sawaa na walee wa kawaida unaeza enda viwandan kweny machine kubwa as engneer na ukafanya field zingnee mbil za ualim unaeza enda vetaa au technical school ukakubalika piaa ni kama mtu anasoma coaurse mbil kwa wakat mmojaa kwa hyo shda inakujaa hawaelew ukae upande gan coz sifa zotee unazo za engneer na za ualim piaaShida umesoma na bado hujaelimika, kozi uliyosona huna utofauti na walimu wengine wa kawaida!
Hapo huwezi kupata usajili wa ERB kwa sababu kuna masomo hujasoma, tuliwahi kutoa ushauri ambao kama Chuo au TCU wakifuata itakuwa rahisi mtu kuendelea na hatimae kuwa mhandisi.Kwa upande wa hiyo coaurse masomo yote ya engneering unayasoma sambamba na ya walee wanao soma engneering ya kawaida ispokua utofaut unaongezewa masomo ya education field piaa unafanya tano tatu za engneering sawaa na walee wa kawaida unaeza enda viwandan kweny machine kubwa as engneer na ukafanya field zingnee mbil za ualim unaeza enda vetaa au technical school ukakubalika piaa ni kama mtu anasoma coaurse mbil kwa wakat mmojaa kwa hyo shda inakujaa hawaelew ukae upande gan coz sifa zotee unazo za engneer na za ualim piaa
kama shida ni masomo ya core subject kwa nn vpnd vyotee vya mechanical engneer tunaingiaa nao wotee kweny masomo yao yotee na core subject zotee tunazisoma ispokua tumewazid ya ualim mfano kama semester inamasomo 10 ya uhandis bas sis tunakua nayo 12 yatakayo ongezeka ni mawil tuu ya ualim au moja it depends na semester husikaa thus why tunakua tunapata changamoto ni masom yap hayo hatujasomaa ikiwa vpnd vyote vya engneer na coree subject zao tumezisomaa sawaa nao na mitihan ni ilee ilee tumefanyaa pamoja na field tatu za IPT unafanya as engneerHapo huwezi kupata usajili wa ERB kwa sababu kuna masomo hujasoma, tuliwahi kutoa ushauri ambao kama Chuo au TCU wakifuata itakuwa rahisi mtu kuendelea na hatimae kuwa mhandisi.
Mhitimu wa ualimu wa ufundi, arudi chuo asome yale masomo ambayo hakusoma kwa miaka miwili au mmoja kisha awe mhandisi kamili asajiliwe na ERB. ( Waliko iga huu mfumo ndivyo wanafanya shida yao wamenakili upande mmoja mwingine wameacha)
Kabla sijakujibu, mliwahi kuuliza chuoni? Mlivyouliza huko Chuoni mlipewa majibu gani? Je, ERB mliwahi kuuliza? mliambiwa jibu gani?kama shida ni masomo ya core subject kwa nn vpnd vyotee vya mechanical engneer tunaingiaa nao wotee kweny masomo yao yotee na core subject zotee tunazisoma ispokua tumewazid ya ualim mfano kama semester inamasomo 10 ya uhandis bas sis tunakua nayo 12 yatakayo ongezeka ni mawil tuu ya ualim au moja it depends na semester husikaa thus why tunakua tunapata changamoto ni masom yap hayo hatujasomaa ikiwa vpnd vyote vya engneer na coree subject zao tumezisomaa sawaa nao na mitihan ni ilee ilee tumefanyaa pamoja na field tatu za IPT unafanya as engneer
Msaada wa kuelewa n masomo yapi hayo ambayo chuo hakijayatoaa coz kipnd tumereport first year wengi walitaman kuhama maan waliona itakua n ualim tuu kwenda pure engneering ila walim wakagoma na wakatupaa moyo kwamba msijal mtakua engneers piaa na tulivy anza masom tukaona kila somo analo soma mtu wa engneer mfano kama n mechanical engneering lazimaa usome naee kila somo lake ispokua unayakwako ya ziada ya ualim na ni mawil au mojaa per semester
Msaada please ili tuelewe zaid🙏🙏
Wewe ni mwalimu wa engineering, ila sio Engineer.kama shida ni masomo ya core subject kwa nn vpnd vyotee vya mechanical engneer tunaingiaa nao wotee kweny masomo yao yotee na core subject zotee tunazisoma ispokua tumewazid ya ualim mfano kama semester inamasomo 10 ya uhandis bas sis tunakua nayo 12 yatakayo ongezeka ni mawil tuu ya ualim au moja it depends na semester husikaa thus why tunakua tunapata changamoto ni masom yap hayo hatujasomaa ikiwa vpnd vyote vya engneer na coree subject zao tumezisomaa sawaa nao na mitihan ni ilee ilee tumefanyaa pamoja na field tatu za IPT unafanya as engneer
Msaada wa kuelewa n masomo yapi hayo ambayo chuo hakijayatoaa coz kipnd tumereport first year wengi walitaman kuhama maan waliona itakua n ualim tuu kwenda pure engneering ila walim wakagoma na wakatupaa moyo kwamba msijal mtakua engneers piaa na tulivy anza masom tukaona kila somo analo soma mtu wa engneer mfano kama n mechanical engneering lazimaa usome naee kila somo lake ispokua unayakwako ya ziada ya ualim na ni mawil au mojaa per semester
Msaada please ili tuelewe zaid[emoji120][emoji120]
Chuoni tumeuliza japo hatupew majibu ya moja kwa mojaa ni kwa nn? tunapewa majibu ya kutia moyo tuu kwamba tunalishughulikiaa but hadi now hatujapewa mrejesho japo mwanzon walituaminish tutakua as engneer kuhusu ERB wanasema tatizo lipo chuoni sio wao kuna maagizo walipewaa kama chuo kwa hio shidaa inakujaa kwa wanafunz wanao somaa course hiyo wakimaliza hawatambulik serikalin na kweny bodi ya ualim piaa hawatambulikiKabla sijakujibu, mliwahi kuuliza chuoni? Mlivyouliza huko Chuoni mlipewa majibu gani? Je, ERB mliwahi kuuliza? mliambiwa jibu gani?
Course uliosomea haina utofauti na ualimu wa kawaida hivyo hamuwezi kusajiliwa na ERB, module nyingi mnafundishwa 'basic' ya engineeringChuoni tumeuliza japo hatupew majibu ya moja kwa mojaa ni kwa nn? tunapewa majibu ya kutia moyo tuu kwamba tunalishughulikiaa but hadi now hatujapewa mrejesho japo mwanzon walituaminish tutakua as engneer kuhusu ERB wanasema tatizo lipo chuoni sio wao kuna maagizo walipewaa kama chuo kwa hio shidaa inakujaa kwa wanafunz wanao somaa course hiyo wakimaliza hawatambulik serikalin na kweny bodi ya ualim piaa hawatambuliki
Msaada kwa hilo ili tuelewee kiongoz🙏🙏
Field jumlaa n tano tatu za engneering(industrial practical training IPT) tumefanya sawa na wale wa pure tena sehem moja mfn viwandan, tanesco,tamesa n.k na zingine mbili za za ualim teaching practise (TP) pia kuhus masomo hatusom basics ya engneering tumesoma masomo ya pure engneering mfano kwa case ya mechanical engneering core subject zake kama automotive,manufacturing,solidwork design,auomation and robotics,foundry technology e.t.c unazisoma na vipnd mnaingia pamoja na watu wa engneer ya kawaida na mode of assesment n sawa workshop pia tunaenda nao tunasoma sawaa inshort ni kama watu wadarasa mojaa tuu ilaa ispokua tofaut n ndogo tu mtuu wa tech anakua na mosomo mawil au moja la tech per each semester na mitihan yote ni sawaa haupo unao tenganisha kwamb huu n wa tech na huu wa pure engneering...Course uliosomea haina utofauti na ualimu wa kawaida hivyo hamuwezi kusajiliwa na ERB, module nyingi mnafundishwa 'basic' ya engineering
Kuhusu field nyie mnaenda field za kufundisha (teaching) sio field za kupratice engineering.
MUST au chuo chochote kinachotaka kuanzisha course ya technical education wanatakiwa wafuate ushauri namba 2 au 3 wa post namba 14.