KERO Changamoto ya kutosajiliwa ERB wanafunzi ambao tumesoma course za Technical Education Mbeya University

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Field jumlaa n tano tatu za engneering(industrial practical training IPT) tumefanya sawa na wale wa pure tena sehem moja mfn viwandan, tanesco,tamesa n.k na zingine mbili za za ualim teaching practise (TP) pia kuhus masomo hatusom basics ya engneering tumesoma masomo ya pure engneering mfano kwa case ya mechanical engneering core subject zake kama automotive,manufacturing,solidwork design,auomation and robotics,foundry technology e.t.c unazisoma na vipnd mnaingia pamoja na watu wa engneer ya kawaida na mode of assesment n sawa workshop pia tunaenda nao tunasoma sawaa inshort ni kama watu wadarasa mojaa tuu ilaa ispokua tofaut n ndogo tu mtuu wa tech anakua na mosomo mawil au moja la tech per each semester na mitihan yote ni sawaa haupo unao tenganisha kwamb huu n wa tech na huu wa pure engneering...
Kuhus fied pia ukiwa mwak wa kwanza unafany IPT, Mwaka wa pil TP, watatu IPT wanne unafanya mbil IPT na TP jumla tano nafkil hapo ntakua nimeelezea vizurii zaid undan wa hiyo course uzito wake popote alipo mtu wa puree na mtuu wa tech yupo iwe n darasan workshop au kweny practical training ispokua kwa masom ya ualim pekee
Acha kukaza fuvu ndugu mwalimu
 
Course uliosomea haina utofauti na ualimu wa kawaida hivyo hamuwezi kusajiliwa na ERB, module nyingi mnafundishwa 'basic' ya engineering
Kuhusu field nyie mnaenda field za kufundisha (teaching) sio field za kupratice engineering.

MUST au chuo chochote kinachotaka kuanzisha course ya technical education wanatakiwa wafuate ushauri namba 2 au 3 wa post namba 14.
Field jumlaa n tano tatu za engneering(industrial practical training IPT) tumefanya sawa na wale wa pure tena sehem moja mfn viwandan, tanesco,tamesa n.k na zingine mbili za za ualim teaching practise (TP) pia kuhus masomo hatusom basics ya engneering tumesoma masomo ya pure engneering mfano kwa case ya mechanical engneering core subject zake kama automotive,manufacturing,solidwork design,auomation and robotics,foundry technology e.t.c unazisoma na vipnd mnaingia pamoja na watu wa engneer ya kawaida na mode of assesment n sawa workshop pia tunaenda nao tunasoma sawaa inshort ni kama watu wadarasa mojaa tuu ilaa ispokua tofaut n ndogo tu mtuu wa tech anakua na mosomo mawil au moja la tech per each semester na mitihan yote ni sawaa haupo unao tenganisha kwamb huu n wa tech na huu wa pure engneering...
Kuhus fied pia ukiwa mwak wa kwanza unafany IPT, Mwaka wa pil TP, watatu IPT wanne unafanya mbil IPT na TP jumla tano nafkil hapo ntakua nimeelezea vizurii zaid undan wa hiyo course uzito wake popote alipo mtu wa puree na mtuu wa tech yupo iwe n darasan workshop au kweny practical training ispo
Field jumlaa n tano tatu za engneering(industrial practical training IPT) tumefanya sawa na wale wa pure tena sehem moja mfn viwandan, tanesco,tamesa n.k na zingine mbili za za ualim teaching practise (TP) pia kuhus masomo hatusom basics ya engneering tumesoma masomo ya pure engneering mfano kwa case ya mechanical engneering core subject zake kama automotive,manufacturing,solidwork design,auomation and robotics,foundry technology e.t.c unazisoma na vipnd mnaingia pamoja na watu wa engneer ya kawaida na mode of assesment n sawa workshop pia tunaenda nao tunasoma sawaa inshort ni kama watu wadarasa mojaa tuu ilaa ispokua tofaut n ndogo tu mtuu wa tech anakua na mosomo mawil au moja la tech per each semester na mitihan yote ni sawaa haupo unao tenganisha kwamb huu n wa tech na huu wa pure engneering...
Kuhus fied pia ukiwa mwak wa kwanza unafany IPT, Mwaka wa pil TP, watatu IPT wanne unafanya mbil IPT na TP jumla tano nafkil hapo ntakua nimeelezea vizurii zaid undan wa hiyo course uzito wake popote alipo mtu wa puree na mtuu wa tech yupo iwe n darasan workshop au kweny practical training ispokua kwa masom ya ualim pekee
Na ukisema kua haina tofaut na ualim wa kawaida sii sawaa kwa sabab hakuna course ya ualim ya miaka minne bacherol degree na yenye field tano hapa Tanzania ispokuaa zinakua na miaka mitatuu na field unapaswa ufanye mbil teaching practise(TP)
 
kama shida ni masomo ya core subject kwa nn vpnd vyotee vya mechanical engneer tunaingiaa nao wotee kweny masomo yao yotee na core subject zotee tunazisoma ispokua tumewazid ya ualim mfano kama semester inamasomo 10 ya uhandis bas sis tunakua nayo 12 yatakayo ongezeka ni mawil tuu ya ualim au moja it depends na semester husikaa thus why tunakua tunapata changamoto ni masom yap hayo hatujasomaa ikiwa vpnd vyote vya engneer na coree subject zao tumezisomaa sawaa nao na mitihan ni ilee ilee tumefanyaa pamoja na field tatu za IPT unafanya as engneer
Msaada wa kuelewa n masomo yapi hayo ambayo chuo hakijayatoaa coz kipnd tumereport first year wengi walitaman kuhama maan waliona itakua n ualim tuu kwenda pure engneering ila walim wakagoma na wakatupaa moyo kwamba msijal mtakua engneers piaa na tulivy anza masom tukaona kila somo analo soma mtu wa engneer mfano kama n mechanical engneering lazimaa usome naee kila somo lake ispokua unayakwako ya ziada ya ualim na ni mawil au mojaa per semester
Msaada please ili tuelewe zaid🙏🙏
Mbona hakuna ubaya looks like unapenda title ya engineer haina dili wala nini wee komaa umalize une kkoo tuwe mawinga
 
Acha kukaza fuvu ndugu mwalimu
Sio kukaza fuvu ila nmejalibuu kukupa upana wa hiyo course uielewe usiishie kusoma kitabu kwa kuangalia cover tu ndio maan nimeileta hii changamoto tupate ushauli na solution coz each year watu wanamaliz lakin wanakataliwaa kuingia kweny sytem za kazii na ujuzii mtu anao wa engneering
 
Sawa mwalimu
 
Haya ,
sawa endeleeni kupambana msajiliwe ERB. Ila ushauri wangu unabakia uleule.
Field jumlaa n tano tatu za engneering(industrial practical training IPT) tumefanya sawa na wale wa pure tena sehem moja mfn viwandan, tanesco,tamesa n.k na zingine mbili za za ualim teaching practise (TP) pia kuhus masomo hatusom basics ya engneering tumesoma masomo ya pure engneering mfano kwa case ya mechanical engneering core subject zake kama automotive,manufacturing,solidwork design,auomation and robotics,foundry technology e.t.c unazisoma na vipnd mnaingia pamoja na watu wa engneer ya kawaida na mode of assesment n sawa workshop pia tunaenda nao tunasoma sawaa inshort ni kama watu wadarasa mojaa tuu ilaa ispokua tofaut n ndogo tu mtuu wa tech anakua na mosomo mawil au moja la tech per each semester na mitihan yote ni sawaa haupo unao tenganisha kwamb huu n wa tech na huu wa pure engneering...
Kuhus fied pia ukiwa mwak wa kwanza unafany IPT, Mwaka wa pil TP, watatu IPT wanne unafanya mbil IPT na TP jumla tano nafkil hapo ntakua nimeelezea vizurii zaid undan wa hiyo course uzito wake popote alipo mtu wa puree na mtuu wa tech yupo iwe n darasan workshop au kweny practical training ispokua kwa masom ya ualim pekee
 
Wewe ni Mwalimu wa ufundi mkuu embu tafsiri jina la course kwa kiswahili.
 
Bachelor of Accountancy and Economics with Education.
  • Accountancy
  • Economics
  • Education
 
Hiyo Programme yako haina tofauti na Bachelor of Education in Commerce, huwezi kuwa Afisa Hesabu au Mhasibu kwa kusoma kozi hii, labda uanze taratibu za NBAA. Hao ERB sidhani lama wana taratibu hizo

Wewe ni Mwalimu wa masomo ya ufundi na wala sio Mhandisi
 
  • Thanks
Reactions: Nus
Sio kukaza fuvu ila nmejalibuu kukupa upana wa hiyo course uielewe usiishie kusoma kitabu kwa kuangalia cover tu ndio maan nimeileta hii changamoto tupate ushauli na solution coz each year watu wanamaliz lakin wanakataliwaa kuingia kweny sytem za kazii na ujuzii mtu anao wa engneering
mtoa mada mngejaribu kufunga kesi, kabla ya hapo hiko chuo chenu mkiulize kwa maandishi na wao wawape majibu kwa maandishi
 
Sio kukaza fuvu ila nmejalibuu kukupa upana wa hiyo course uielewe usiishie kusoma kitabu kwa kuangalia cover tu ndio maan nimeileta hii changamoto tupate ushauli na solution coz each year watu wanamaliz lakin wanakataliwaa kuingia kweny sytem za kazii na ujuzii mtu anao wa engneering
Mzee, wewe ni mwalimu wa technical education
 
Back
Top Bottom