KERO Changamoto ya kutosajiliwa ERB wanafunzi ambao tumesoma course za Technical Education Mbeya University

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Acha kukaza fuvu ndugu mwalimu
 
Field jumlaa n tano tatu za engneering(industrial practical training IPT) tumefanya sawa na wale wa pure tena sehem moja mfn viwandan, tanesco,tamesa n.k na zingine mbili za za ualim teaching practise (TP) pia kuhus masomo hatusom basics ya engneering tumesoma masomo ya pure engneering mfano kwa case ya mechanical engneering core subject zake kama automotive,manufacturing,solidwork design,auomation and robotics,foundry technology e.t.c unazisoma na vipnd mnaingia pamoja na watu wa engneer ya kawaida na mode of assesment n sawa workshop pia tunaenda nao tunasoma sawaa inshort ni kama watu wadarasa mojaa tuu ilaa ispokua tofaut n ndogo tu mtuu wa tech anakua na mosomo mawil au moja la tech per each semester na mitihan yote ni sawaa haupo unao tenganisha kwamb huu n wa tech na huu wa pure engneering...
Kuhus fied pia ukiwa mwak wa kwanza unafany IPT, Mwaka wa pil TP, watatu IPT wanne unafanya mbil IPT na TP jumla tano nafkil hapo ntakua nimeelezea vizurii zaid undan wa hiyo course uzito wake popote alipo mtu wa puree na mtuu wa tech yupo iwe n darasan workshop au kweny practical training ispo
Na ukisema kua haina tofaut na ualim wa kawaida sii sawaa kwa sabab hakuna course ya ualim ya miaka minne bacherol degree na yenye field tano hapa Tanzania ispokuaa zinakua na miaka mitatuu na field unapaswa ufanye mbil teaching practise(TP)
 
Mbona hakuna ubaya looks like unapenda title ya engineer haina dili wala nini wee komaa umalize une kkoo tuwe mawinga
 
Acha kukaza fuvu ndugu mwalimu
Sio kukaza fuvu ila nmejalibuu kukupa upana wa hiyo course uielewe usiishie kusoma kitabu kwa kuangalia cover tu ndio maan nimeileta hii changamoto tupate ushauli na solution coz each year watu wanamaliz lakin wanakataliwaa kuingia kweny sytem za kazii na ujuzii mtu anao wa engneering
 
Sawa mwalimu
 
Haya ,
sawa endeleeni kupambana msajiliwe ERB. Ila ushauri wangu unabakia uleule.
 
Wewe ni Mwalimu wa ufundi mkuu embu tafsiri jina la course kwa kiswahili.
 
Bachelor of Accountancy and Economics with Education.
  • Accountancy
  • Economics
  • Education
 
Hiyo Programme yako haina tofauti na Bachelor of Education in Commerce, huwezi kuwa Afisa Hesabu au Mhasibu kwa kusoma kozi hii, labda uanze taratibu za NBAA. Hao ERB sidhani lama wana taratibu hizo

Wewe ni Mwalimu wa masomo ya ufundi na wala sio Mhandisi
 
Reactions: Nus
mtoa mada mngejaribu kufunga kesi, kabla ya hapo hiko chuo chenu mkiulize kwa maandishi na wao wawape majibu kwa maandishi
 
Mzee, wewe ni mwalimu wa technical education
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…