Changamoto ya mafuriko Dar es Salaam, wananchi inapaswa kujikana, kuukataa uchafu ili mitaro ya maji ifanye kazi vizuri

Changamoto ya mafuriko Dar es Salaam, wananchi inapaswa kujikana, kuukataa uchafu ili mitaro ya maji ifanye kazi vizuri

TikTok2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2022
Posts
1,816
Reaction score
3,150
Wanajamvi kama uzi unavyojieleza,binafsi tatizo kubwa la changamoto ya mafuriko yasiyoisha nimeona kwenye suala la uchafu wa mazingira uliokithiti kama chanzo ambayo inaathiri kwa kiasi kikubwa mitaro na njia za maji.

Karibuni kwa mjadala zaidi tuisaidie serikali cha kufanya ili kujinusuru na hii hali mbaya inayoletwa na mvua ya siku moja tu.

Natamani jambo hili wananchi wote tungejikana na kuamua kuachana na utupaji taka hovyo kama tulivyoikataa mifuko ya plastiki ili tujinusuru.

Tujadili
 
Raia kujikana ni ngumu mkuu,huku kwetu chemba ndio mida yake hii kufunguliwa iende road [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom