eti ndo nini,na wewe unataka kuchukua nini?Ndo nini?
Nailinda Tanzania Ndani ya nchi na nje ya Nchi lazima nijueeti ndo nini,na wewe unataka kuchukua nini?
System nyingi designed kwa ajili ya Computer kwani tunaamini watumishi wa Umma wamefuta Ujinga kidogo that’s why na kwa sasa kuna campaign kubwa ya kuhakikisha mifumo ya kiserikali haiwi compatible na Simu mfano ofisi niliyopo huwezi kutumia kuchomeka flash ukasoma au kuhamishia vitu kwenye Flash disk zina restrictions hizo hata ule Mfumo wa Mof uko mbioni kuondolewa Salary Slips za watu ziko nyingi sana Facebook, TikTok na Instagram watu wanazijadili.Sasa watu Wana design mfumo , wanaojua watumiaji wengi wa huo mfumo ni wamiliki wa simu.za kichina za tekno, Infinix, redm na OPPO inashindwa kuweka graphics zinazofiti kwenye display za simu hizo? Hata Kuna siku nilifungua NHIF natafuta vifurushi, garama na huduma za Kila kifurushi lakini ilikuwa hai fit screen. Ukiwauliza watakubia wametimia " wataalamu wabobezi" wa ndani
wewe itakuwa ni Mmoja wapo wa wanao design hayo ma utopolo kwa ku copy templates kwenye mitandao. Hii MIFUMO ni self service inatakiwa upatate huduma popote. Watumishi wote Wana smartphone lakini hawana computer. Inashindwa kutengeneza mfumo ulio compatible kwa simu na computer?System nyingi designed kwa ajili ya Computer kwani tunaamini watumishi wa Umma wamefuta Ujinga kidogo that’s why na kwa sasa kuna campaign kubwa ya kuhakikisha mifumo ya kiserikali haiwi compatible na Simu mfano ofisi niliyopo huwezi kutumia kuchomeka flash ukasoma au kuhamishia vitu kwenye Flash disk zina restrictions hizo hata ule Mfumo wa Mof uko mbioni kuondolewa Salary Slips za watu ziko nyingi sana Facebook, TikTok na Instagram watu wanazijadili.
Kama utanitukana matusi nipo tayari kukukabili