strong star
Member
- Jul 15, 2021
- 36
- 42
Katika maisha yetu ya kila siku ,binadamu hujikuta akizalisha takataka ( uchafu ) mwingi kila siku ili kukidhi maitaji yake, Hivyo basi kujikuta katika wimbi la uchafuzi wa mazingira. Ambapo athari zake ni kama vile magonjwa ya mlipuko,ajari nakathalika.
Leo tunaenda kuona namna ambavyo maisha yetu ya kila siku yanavyoendelea kuzalisha uchafu ,
*Uzembe na kukosa elimu ya kutosha .
Uzembe wetu katika kutunza mazingira na kuifadhi vizuri au kuchoma takataka tunazozalisha kila siku usababisha kuwepo kwa wimbi la uchafu, kwa mfano unamkuta mtu anazalisha takata anazilusha uwanjani tu kila siku au kuzisogeza pembezoni mwa nyumba na wengine kufanya dampo kabisa apo apo.
*Mzunguko wa maisha ya kila siku.
Kutokana na jinsi maisha yetu yanavyokwenda husababisha watu wengi kujikuta wakizalisha uchafu mwingi bira kuchoma. Mfano mzuri mijini,inakuwa ngumu sana mtu kupata mda wa kuziifadhi vizuri au kuzichoma kabisa takataka zake kwani mfumo wa maisha wanayoishi ,hivyo kuzalisha uchafu na kuchafua mazingira.
*Viwanda.
Uwepo wa kiwanda mahari usababisha kuwepo kwa uchafu mwingi unaozalishwa kiwandani apo wakati wa uchakataji wa marighafi , Hivyo basi sehemu zenye viwanda Vingi kama mijini kunazalishwa takataka nyingi zaidi kuliko vijijini ambako kuna viwanda vichache .
Kwa ujumla ,tunaweza kuona jinsi gani inakuwa vigum sana kuishi katika jamii bila kuzalisha takataka hivyo basi yatupasa kufaham namna bora zaidi kuzibiti uchafuzi wa mazingira ,ambazo ni :-
*Kuchoma au kutupa dampo.
Kwa kuwa imekuwa vigum kuishi maisha ya kila siku bila kuzalisha takataka kabisa ,hivyo yatupasa kuzichoma Mara kwa mara au kuzikusanya kisha kuzitupa dampo.Hivyo tutakuwa tumeziweka mbali na mazingira yetu kubaki safi na sarama .
*Matumizi mludio.
Kutokana na kuzalishwa kwa taka nyingi katika maisha ya kila siku ya binadamu hivyo yatupasa kutumia tena zile taka katika namna nyingine tofauti ili iwe na thamani na kuepuka kuchafua mazingira .kwa mfano chupa za plastiki,vyuma chakavu, karatasi, nakadhalika.
Hakika takataka zimekuwa tatizo kubwa katika jamii zetu mpaka watu wanajipatia kipato kupitia changamoto hii na kujalibu kudhibiti uchafuzi wa mazingira unaoendelea kutokea kila siku.