Changamoto ya Tofauti ya Umri Katika Mahusiano

1993 mpaka 2024 ni miaka 31 na hapo hujasema ukweli wako kwamba umezaliwa 1985.

Tuchukulie una miaka 31. Kwa umri huo unadhani Kuna mwanaume wa Miaka kuanzia 32 na kuendelea atakuwa anakuhitaji?

Usiseme unawapenda hao wa 98, sema ulikuwa unajishebedua sana.

Kubali matokeo
😁😁😁😁 Aisee jf kwenye Ubora wake
 
Kila anayempata ina maana ni wengi,yani huyu mpk aje kuolewa kashapitiwa na zaidi ya wanaume 100,halafu hiyo ndoa isipodumu atasema ana bahati mbaya kumbe anajitia mikosi ya kujitakia...
Mambo ya body count hayo 😁😁😁
 
Naomba nianze kwa kujieleza,

Nitaelezea changamoto katika mahusiano ninayoyapitia, hasa upande wa tofauti ya umri. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1993.

Mahusiano yangu ya kwanza yalikuwa na mwanaume aliyezaliwa mwaka 1992. Kama nilivyoeleza mwanzo, tulipishana mwaka mmoja tu, yeye akiwa mkubwa kwangu kwa mwaka mmoja. Hata hivyo, hatukudumu kwenye mahusiano yetu kutokana na tabia zetu kutowiana.

Sasa, baada ya kuachana naye, wanaume ninaowapata ni wale waliozaliwa mwaka 1998. Ninapata changamoto kubwa kuhusiana na suala la umri. Nashindwa hata kufikiria kubeba mimba kwa sababu nawaona wadogo kwangu, na pia ninaogopa kuchekwa na jamii inayonizunguka.

Hata hivyo, utakuta tunapendana vizuri, na tatizo pekee linakuwa umri. Naomba ushauri kwa sababu nina mtoto mmoja wa miaka kumi, na ninatamani kuanzisha familia nyingine. Umri unazidi kwenda, lakini wanaume ninaowapata naowapenda ni wadogo kwangu.

Sijabahatika kupata mwanaume wa umri mkubwa ambaye nitampenda. Si kwamba hawapo, lakini hawanivutii kabisa!
Una 31 certified mshangazi
Unapenda vijana wadogo
Poor you
 
Pole Sana binti yangu .
Embu dondoka Pm uchore namba yako ,unaweza vutiwa na Mimi labda .

Nb:Njoo PM ukiwa unajua unahitaji kuolewa sitaki kukuchezea nimeshacheza Sana ,Sasa nahitaji kutandika daruga
 
Back
Top Bottom