Ki ukwel watumishi wengi tunapata changamoto kubwa sana hasa wakati wa kutaka kuhama kupitia mfumo wa e-uhamisho kwani unakuta mtu una vigezo vyote vya kuama taasisi moja kwenda nyingine lakini ukiomba kwenye mfumo unakataa na kuandika "your designation has staff deficit in your organisation" licha ya kwamba kuna watu wa kutosha kwenye kituo chako cha kazi
Hii jambo linasababisha watu kushindwa hata kuomba kwenye taasisi husika ili kupata nafasi ya kuama. Tunaomba hili kero ya staff deficit in my organisation itatuliwe na utumishi na isiwe sababu ya kumzuwia mtu kuama.
Na wakati mwingine mtu unapata barua ya nafasi kwenye taasisi fulani na barua yako inapitishwa na mkurugenzi wako kukuruhusu uhame na unaweka kwenye mfumo wa ess inafika mpaka utumishi lakini utumishi wanakataa kutoa kibali cha uhamisho kwa kigezo cha kushindwa kuthibitisha nafasi wazi kwenye taasisi unayoamia. Sasa utumishi wanashindwaje kuthibitisha uwepo wa nafasi kwenye taasisi ninayotaka kuamia na wakati taasisi hiyo imenithibitishia kwa barua kuwa nafasi hiyo ipo na huu ndo utaratibu uliokuwa unatumia kuamisha watumishi miaka yote.
Tunaomba utumishi watusaidie tunapata tabu sana kuhama kwa huu mfumo wa e-uhamisho na moja ya changamoto ni hizo hapo juu