Ushauri wangu:Fanya kuwasiliana na taasisi husika pengine wao ndo wameiondoa hiyo nafasi.Hii ni kero kubwa sana ikiendana sambamba na Ile ya Vacancy not budgeted, yaaan mtu Umeomba nafasi kwenye Taasisi wamekukubalia kwa kukupa barua halafu ukiendelea kwenye mfumo unakutana na na Vacancy not budgeted. Na sasa nasikia kwenye dirisha zote za uhamisho lazima tukutane na hicho kitu.
Licha ya hivyo, wale wanaobahatika maombi kufika huko UTUMISHI Bado wanalalamika kukaa kwa maombi hata
Hapa hata mood ya kazi zao imekata kabisa. Mood ya kazi sina ila mshahara nachukua na ufanisi lazima ushuke na utoro kazini kuongezekaUshauri wangu:Fanya kuwasiliana na taasisi husika pengine wao ndo wameiondoa hiyo nafasi.
Lakini nawaza kwanini karibia kila taasisi unayoomba kwa sasa kuhamia inaleta ujumbe wa VACANCY NOT BUDGETED? Na hii imekwenda mbali hadi katika ngazi ya halmashauri. Mwanzo nilijua VACANCY NOT BUDGETED ni pale unapotaka kuhamia kwenye taasisi zenye asali. Kutakuwa na shida sehemu ni vyema wenye mamlaka wakashughulikia.
Mkuu, kama ni hii issue ya Vacancy not budgeted hata Taasisi yenyewe ambayo wamekupa barua ya kuhamia kwao Huwa wanashangaa, kwani wao wanasema bayana kuwa nafasi hii tumeitenga na ipo kwenye mwaka husika wa bajeti.Ushauri wangu:Fanya kuwasiliana na taasisi husika pengine wao ndo wameiondoa hiyo nafasi.
Lakini nawaza kwanini karibia kila taasisi unayoomba kwa sasa kuhamia inaleta ujumbe wa VACANCY NOT BUDGETED? Na hii imekwenda mbali hadi katika ngazi ya halmashauri. Mwanzo nilijua VACANCY NOT BUDGETED ni pale unapotaka kuhamia kwenye taasisi zenye asali. Kutakuwa na shida sehemu ni vyema wenye mamlaka wakashughulikia.
Yaani hata ukiomba kuhamia Halmashauri wanayoikimbia watumishi bado utaambiwa vacancy not budgeted!!Mkuu, kama ni hii issue ya Vacancy not budgeted hata Taasisi yenyewe ambayo wamekupa barua ya kuhamia kwao Huwa wanashangaa, kwani wao wanasema bayana kuwa nafasi hii tumeitenga na ipo kwenye mwaka husika wa bajeti.
Pia, kama ulivyosema kwa sasa ni Taasisi karibia zote sio Councils sio Institutions/Organizations kote ni vacancy not budgeted, kwa hali hii unadhani watumishi watahamaje..?
Naanza kuamini hoja ya mtu mmoja aliwahi kusema humu kuwa mfumo wa ESS umeletwa maksudi kuwazuia watumishi wasihame hovyo