Changamoto ya upatikanaji wa nguo bora za ndani za kiume(boksa)

Changamoto ya upatikanaji wa nguo bora za ndani za kiume(boksa)

Avae nani sasa niliiweka bandiko kwa ajili ya kujua wapi kwa local shops nitapata ila now nilijidakia zangu waturuki nikaishi Cavin klein sijawah zipenda
Ni mzuri Sana kuliko zile za draft Zina tabia ya kujipandisha juu ya mapaja sasa izi Calvin Klein zinakuweka huru japo zinakuwa Zina bana Sana Kama tait but ziko poa Sana try it
 
Nenda Posta mpya baada ya kushuka kituo cha kwanza, rudi nyuma kama hatua kumi na tano, angalia duka lipo hapo hapo linatazamana na Kanisa la Anglikana kila kitu ni OG. 9000/=
 
Back
Top Bottom