KERO Changamoto ya usafiri wa daladala nyakati za usiku Buhongwa-Usagara

KERO Changamoto ya usafiri wa daladala nyakati za usiku Buhongwa-Usagara

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari,

Kumekuwa na changamoto kubwa nyakati za jioni kwa daladala za Buhongwa kwenda Usagara kwani abiria wote wanaoshuka njiani wanaliopishwa nauli sawa na anayefika mwisho wa gari hali inayowaumiza abiria hao

Tafadhali mamlaka ziangalie hili
 
Back
Top Bottom