A Anonymous Guest Dec 26, 2024 #1 Habari, Kumekuwa na changamoto kubwa nyakati za jioni kwa daladala za Buhongwa kwenda Usagara kwani abiria wote wanaoshuka njiani wanaliopishwa nauli sawa na anayefika mwisho wa gari hali inayowaumiza abiria hao Tafadhali mamlaka ziangalie hili
Habari, Kumekuwa na changamoto kubwa nyakati za jioni kwa daladala za Buhongwa kwenda Usagara kwani abiria wote wanaoshuka njiani wanaliopishwa nauli sawa na anayefika mwisho wa gari hali inayowaumiza abiria hao Tafadhali mamlaka ziangalie hili