Mkuu, yaani unajua kabisa unanunua kwa nusu risiti na wewe unataka kwenda kuuza kwa risiti unategemea nini?
VAT is all about balance, hakikisha unaponunua bidhaa kwa jumla unapewa risiti kamili ili kuweka balance na kile utakachoenda kukutana toka kwa wateja wako. Kama wholesaler wako hataki kutoa risiti kamili badilisha au na wewe angalia namna ya kufanya kwa wanunuzi wako ili mzigo wote usikuangukie maana kwa macho ya TRA inaonekana unapiga faida kubwa kumbe kiuhalisia sio kweli.
Kwa huduma zote za ritani za TRA na masuala ya kodi karibu tukuhudumie.
0755963775 calls/whatsapp