malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Habari wakuu,
Hivi kwa mtu umeingia kwenye vat tayari halafu unakuwa na changamoto ya kupata risiti za manunuzi yaani unaponunulia hupewi risiti kabisa au unapewa risiti kidogo sana.
Sasa tunauza kwakutoa risiti halali kwa Kila mteja Sasa vat kwenye mauzo inakua kubwa sana kuliko yamanunuzi najikuta nalipa Hela nyingi mno ya vat