Changamoto ya VAT

Changamoto ya VAT

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habari wakuu,

Hivi kwa mtu umeingia kwenye vat tayari halafu unakuwa na changamoto ya kupata risiti za manunuzi yaani unaponunulia hupewi risiti kabisa au unapewa risiti kidogo sana.

Sasa tunauza kwakutoa risiti halali kwa Kila mteja Sasa vat kwenye mauzo inakua kubwa sana kuliko yamanunuzi najikuta nalipa Hela nyingi mno ya vat
 
Kodi na mifumo ya kujitia umaskini, tunajikomoa wenyewe tuu, haya mambo tunaweza rekebisha lakini uvivu na ujinga ndio tulipoishia
 
Mkuu, yaani unajua kabisa unanunua kwa nusu risiti na wewe unataka kwenda kuuza kwa risiti unategemea nini?
VAT is all about balance, hakikisha unaponunua bidhaa kwa jumla unapewa risiti kamili ili kuweka balance na kile utakachoenda kukutana toka kwa wateja wako. Kama wholesaler wako hataki kutoa risiti kamili badilisha au na wewe angalia namna ya kufanya kwa wanunuzi wako ili mzigo wote usikuangukie maana kwa macho ya TRA inaonekana unapiga faida kubwa kumbe kiuhalisia sio kweli.

Kwa huduma zote za ritani za TRA na masuala ya kodi karibu tukuhudumie.

0755963775 calls/whatsapp
 
🇹🇿 MHIMU SOMA MPAKA MWISHO🇹🇿.
ONLINE FINANCIAL SERVICE
JE NIMFANYABIASHARA NA HUNA RESENI ?...👉🏾USISUBILI KUPIGWA FINE NIPO KWAJILI YAKO KUKUSAIDIA KWENYE HILI PIA NAKUHAKIKISHA UNAPATA RESENI POPOTE ULIPO 🇹🇿
Hapa tunahudumia wateja wale
Ambao HAWANA/IMEISHAMDA
HAKIKISHA UNANAMBA YA NIDA NA NAMBA YASIMU ILIYOSAJILIWA KWA NAMBA YAKO YANIDA KUFANIKISHA ZOEZI HILI PIA HAKIKISHA UNA NAMBA ZA TIN
.........HUDUMA NYENGINEZO
1. FILLING PAYE
2. FILLING SDL
3. FILLING VAT
4. FILLING WCF
5.TIN YA BIASHARA & SUB BRUCH TIN
.........WASILIANA NAMI KWA NAMBA 0719257400..........
NAMENGINE MENGI KALIBU
 
Back
Top Bottom