Changamoto ya Vivuko Kigamboni kwa sasa kunafanya kazi kivuko kimoja tu

TikTok2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2022
Posts
1,816
Reaction score
3,150
Wasaaaalamu

Hali ya usafiri Kigamboni imekuwa mbaya sana wananchi wanahaha na kuhangaika,kwa sasa ni kivuko kimoja tu MV KAZI ndio kinatoa huduma hii inasababisha mrundikano wa raia wanaosubiri kupata huduma ya kivuko na kuleta kero kubwa sana

Mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote alietolea ufafanuzi kadhia hiyo huku wananchi wakiendelea kuhaha

Kinachosikitisha zaidi kivuko kikubwa kilichokwenda kukarabatiwa ndio kwanza matengenezo yamefikia 40% na ni mwaka sasa unaisha tangu kipelekwe

IMG-20240130-WA0000.jpg
 
View attachment 2888528
Ambae hataki apige mbizi[emoji16]
 
Back
Top Bottom