mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Siyo siri, kuwa mtu akikaa miaka mingi baada ya kuhitimu huku kila siku anapambana na maisha akili huwa inachoka. Halafu unapambanishwa na vijana fresh toka vyuoni akili bado inacharge hasa.
Ila hamna jinsi, itabidi mpambane tu. Tatizo ni kwamba unakuta mtu steam ishakata, baada ya kufanya saili kibao kwa gharama kubwa ya nauli, malazi na chakula hasa walio mbali na vituo vya usaili.
Hebu wahitimu wakongwe tupeni ushuhuda na uzoefu wenu na saili za sekretarieti ya ajira jinsi mnavyopambana fresh graduates, je, mnatoboa?