mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Mimi ni mstaafu tayari, nawafikiria tu vijana wakubwa ambao tayari wameshabeba majukumu ya familia kwa kujiajiri na shughuli ndogo ndogo kama vibarua nk. Lakini bado wana ndoto ya kuingia kwenye utumishi wa umma!!Kila la heri mkuu katika usaili
mbona lugha yako ni kama ya vijana wahuni? mzee utatumia lugha za mitaani?..vijeba, vocha π π π πMtu kamaliza chuo miaka takriban 7 iliyopita halafu anapambanishwa paper na damu changa zilizohitimu 2022 nadhani ni kuwatesa!! Napendekeza vijeba wafanyiwe tu oral interviewl!! Mimi ni mtumishi mstaafu sina maslahi katika hili ila naomba vijeba wafanyiwe fair!! Vijeba wanafikiria wale nini wavae nini halafu uwapambanishe na damu changa ambao bado hata vocha wanapewa na wazazi/walezi wao!!
Ndiyo lugha wanayotumia vijana ambao ndio walengwa wa uzi huu!! Hao tunaosema vijeba kusema ukweli na wao ni vijana wa miaka 30++ vs Vijana chini ya miaka 25!! Samahani ila walengwa hawana tatizo na hilo!!mbona lugha yako ni kama ya vijana wahuni? mzee utatumia lugha za mitaani?..vijeba, vocha π π π π
@secretarieti ya ajiraMtu kamaliza chuo miaka takriban 7 iliyopita halafu anapambanishwa paper na damu changa zilizohitimu 2022 nadhani ni kuwatesa!! Napendekeza vijeba wafanyiwe tu oral interviewl!! Mimi ni mtumishi mstaafu sina maslahi katika hili ila naomba vijeba wafanyiwe fair!! Vijeba wanafikiria wale nini wavae nini halafu uwapambanishe na damu changa ambao bado hata vocha wanapewa na wazazi/walezi wao!!