Changamoto za kuingia utu uzima nimeanza kukabiliana nazo

Mi nacheka tuu jamaa anavojibu comment an simple tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š hajali wala nini..
Et asante kwa maoni yako
 
Mi nacheka tuu jamaa anavojibu comment an simple tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š hajali wala nini..
Et asante kwa maoni yako

Ukishakuwa mtu mzima raha yake ndio hiyo.
Jana wangeandika hayo maoni huenda ningejibu kwa namna ingine.

Kwa sasa nawachukulia kΓ ma vijana wangu ambao ndio wanapevuka. Hivyo acha wajibu kwa namna yoyote
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sawa sawa.
Ila mi ni miongoni mwa kijana wako ambae nafatilia na kuyaelewa sana usemayo. Pia nayatendea kazi πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ™ŒπŸ™Œ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sawa sawa.
Ila mi ni miongoni mwa kijana wako ambae nafatilia na kuyaelewa sana usemayo. Pia nayatendea kazi πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ™ŒπŸ™Œ

πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
Naam mkuu
Kwa umri wa ujana ndio wakati pekee ambao Watu wapumbavu usiwe na nafasi ya kutumia busara kuwashughulikia.
Ila ukishakuwa mtu mzima kama sisi kupuuza ni BUSARA pia
 
Mkuu jandoni nimeshatoka sasa nipo stage nyingine kabisa.
Naheshimu maoni na uelewa wa Watu Wengine.
Jando la kwanza ni hapo ulipofikia-Majando yanauofuatia, kuanzia sasa ni kila miongo mpaka utakapo kuwa na Uelewa bobezi. Na haya yote yanategemea na Ukweli.
 
Ipo njema sana hii, hapo haraka haraka nimeona uhusiano uliopo kati ya Bata za leo na ufukara wa kesho kwa mwalimu wa kwanza, pia nimeona uwekezaji wa mapema ambavyo huwalipa watu siku za mbele kwa mwalimu wa pili, namsubiri mwalimu wa tatu.
 
UNAITENDEA VYEMA SANAA YA UANDISHI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…