[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni hatareeUnazijua tabia za akina "Juniour"? [emoji16]
Achaa uwoga wa Maisha,hukujileta hapa Duniani,na Mshukhuru Mungu kwa kila Jambo!!Watu tumeona vivid examples jinsi wanaume waliozaa uzeeni wanavyohangaika na watoto wadogo...anyway utajiju its your life,its your choice
Wengi ni watoto wa michepuko[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni hataree
Una mtoto wa uzeeni au vipi mzeeAchaa uwoga wa Maisha,hukujileta hapa Duniani,na Mshukhuru Mungu kwa kila Jambo!!
Msome vizuri utamwelewa.unafikiri huyo Binti aliyemsaidia angekubali kuishi naye bila mtoto?Pasco, umezaa na mkeo? Watoto 8 ni wengi sana. Wanatumia financial, physical and emotional resources nyingi sana kuwahudumia na kuwalea. I think it wasn’t the wisest decision for you to have a baby at this point in your life. Hapo umefulia mzee. Big time.
Sasa brother Pasco ana uzee gani!? Je angepata huyo Mtoto Kama Marehemu Mengi miaka 74 ungesemaje!!??Una mtoto wa uzeeni au vipi mzee
Pasco hongera sana, Umevipigana vita vilivyo vizuri, Japo bado hujaumaliza mwendo. Stori ya maisha yako ni ya kuvutia. Andika Autobiography.Leo Ijumaa ya Tarehe 8 April, ni siku yangu ya kuzaliwa, nikiwa nimeipiga mingi nikikaribia 60! ambao ndio umri rasmi wa kustaafu, nikiwa tayari ni father of 8 +1= 9, Grand Pa of 6, and about to retire!.
Sababu ya makala hii ya leo sio kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa, bali kutoa mbinu za changamoto za ulezi katika umri mkubwa kwa huku unajiandaa kustaafu, huku vichanga vinaendelea kuzaliwa!.
Naomba kutoa taarifa ya ujio wa mgeni mwingine kwenye familia yangu, ujio wa mgeni huyu, ume concide na tarehe yangu ya kuzaliwa, mgeni huyu mpya, amebisha hodi Duniani Leo, 8 April, 2022 majira ya saa 4:00 asubuhi, katika hospital ya Aga Khan, na kwa vile mgeni mwenyewe ni kidume, hivyo nimetoa jina langu la Pascal, hivyo ataitwa Pascal Mayalla, Jnr na kuanzia leo mimi nimebadili jina na kuwa Pascal Mayalla Snr baada ya ujio wa Pascal Mayalla Jnr.
Kupata mtoto katika umri mkubwa kama huu, kuna changamoto zake, changamoto ya kwanza, ni watoto wangu wakubwa tayari wana watoto, yaani mimi ni Babu, halafu unapata mtoto mdogo kuliko mjukuu, hivyo kwa wajukuu wa watoto wangu wa kiume, huyu Pascal Mayalla Jnr ni baba yao mdogo na wajukuu wa mabinti huyu ni mjomba wao, baba mdogo na mjomba kuwa ni mdogo kuliko wajukuu, haupendezei kivile!.
Kuna watu wataona ni ajabu kwa mtu over 50 kupata mtoto, japo nikweli sio kawaida sana, watu wanajenga familia wakiwa vijana, ukifika miaka 50 ni umri wa kujiandaa kustaafu na sio tena kuanza kulea na kuitwaa baba wakati umri ni wa babu, lakini amini usiamini, kupata mtoto at 50 plus ni kawaida sana, tuna mfano mingi tuu, ukitafuta umri wa Chief Burito wakati Julius Kambarage Nyerere anazaliwa, hutashangaa!. Hata Nabii Ibrahim alipomzaa Isaka alikuwa na miaka 90!. Mfano mzuri wa karibu ni yule Mzee wetu fulani, Al maarufu na mashuhuri, alipata watoto twins at 74 years!, hivyo mimi kupata mtoto at 50 plus, mimi ni bado sana!, ila huyu ni last born!.
lengo la makala hii ya leo ni kutoa somo la kujiandaa kustaafu, ili ustaafu bila stress. Kitendo tuu cha mstaafu mtarajiwa kupata mtoto at 50 +, hiyo peke yake tayari ni stress tosha, kwasababu mtoto anatakiwa kutimiza the age of majority, akiwa total dependant. Pesa za mstaafu, haziwezi kumlipia shule nzuri mtoto, unless nikubali akasome St. Kayumba!. Kama hao wenzake 8, hakuna aliyesoma St. Kayumba, hivyo huyu kitinda mimba wa Baba Babu, needs a little bit kujipanga zaidi. Hivyo makala hii, itakuwa ni msaada mkubwa sana kwa wale wote wenye umri mkubwa, huku wakikabiliwa na changamoto za ulezi.
Kutokana na maandalizi duni ya kustaafu, wastaafu wengi hujikuta hawana vitega uchumi vya kutosha kuwa sustain baada ya kustaafu, hivyo kuishi maisha ya stress, wengine kusumbua watoto kwa kupiga muzinga, hali inayopelekea ikiona tuu simu ya dingi, unahisi ni mzinga, hivyo ukijiona uko apeche alolo, unaogopa hata kupokea simu ya dingi ukidhani ni mzinga!, kumbe simu nyingine wala sio mizinga, ni dingi amekukumbuka tuu na anakupigia ili kukusalimia tuu.
Kitu kinacholeta stress kubwa Kwa wastaafu wengi, ni wengi kutofanya biashara yoyote wakati wa utumishi wao, halafu akiisha staafu yale malipo ya pensheni ya mkupuo kuyatumia kama mtaji wa kuanzisha biashara, biashara isipokwenda vizuri, matoi yake ni kupata stress, kuchoka mapema na kuchakaa, na hapo hapo maradhi ya depression na mwisho ni kufa mapema kwa ma pressure, heart attacks, maumivu ya viungo, organ failure etc.
Ili kuzuia stress za kustaafu, kama unapanga kufanya biashara fulani baada ya kustaafu, start small!, anza kidogo kidogo ukingali kazini kupata uzoefu wa kutosha ukiona unaweza ndipo ukistaafu ujikite zaidi.
Ushauri wangu wa the best way ya kustaafu, ni zile fedha za mafao yako ya kustaafu ambayo umelipwa kupitia benki, wastaafu wengi huziweka fedha hizo Benki kama akiba, na kuzitumia kidogo kidogo.
Kitendo cha fedha hizo kukaa Benki kwenye account ya savings, faida yake ni kiduchu Sana. Zingekaa kwenye a fixed deposit account, FDA, zingezalisha faida kubwa kidogo, lakini mpango mzima wa ukweli na wa uhakika wa uwekezaji wa mafao yako ni Kwa kuwekeza Kwa ununuzi wa dhamana za serikali, yaani Government Bonds, ambazo huuzwa na Benki Kuu ya Tanzania ambapo hutoa riba ya mpaka asilimia 16%!.
Sasa tupige hesabu ya Pamoja.
Tuseme mafao yangu ya kustaafu ya mkupuo ni milioni 100. Nikinunulia Government Bonds za miaka 25, kila mwaka nitapata shilingi milioni 16. Bonds wanalipa gawio mara 2 Kwa mwaka, kila baada ya miezi 6. Hivyo nitalipwa shilingi milioni 8 kila miezi 6.
Ukiisha nunua bonds zile Bondi certificate ni dhamana ya uhakika ya kupata mkopo Benki yoyote kufanyia biashara yoyote.
Nakushauri, fanya utaratibu na Benki yako, badala ya kusubiri kupokea gawio lako la milioni 16 kwa mwaka, unaomba ulipwe shilingi milioni 1,300,000 kila mwezi kwa muda wa miaka 25, bado wewe mstaafu utakuwa na stress au kusumbua kupiga mizinga watoto?.
Wastaafu wenzangu watarajiwa, ni muhimu sana kupanga uzazi, ni muhimu kupanga familia, ni muhimu kujipanga kustaafu bila stress, ila ikitokea umepata ugeni kama wa Pascal Mayalla Jnr, mida ya machweo, mpokee tuu mgeni with positivism after all kila mtoto anakuja na rizki yake,
Karibu Pascal Mayalla Jnr.
Happy Born Day Pascal Mayalla Jnr
Happy Birthday Pascal Mayalla Snr
Paskali
Update ya Kilichopelekea Kuendelea Kutengeneza Watoto Post 50 Years!.
Mkuu Goldschmidt , kwanza asante sana kwa kuwa mkweli, bonafide genuine, watu huwa hatupendi kuambiwa ukweli mchungu, hiki ulichosema hapa ni ukweli mchungu!.
It's true watoto 8, now 9 ni wengi. Mimi ni a modern man, niliao a classmate sweetheart Mimi nikiwa at 25 years mwenzagu 21, tukahama nchi kwenda UK tukapata mtoto wa kwanza a girl then tukahamia US tukapata mtoto wa pili, a boy tukaamua that is it. Hatuhihitaji tena kuongeza watoto.
Wife akapata full sponsored fellowship ya 4 years US mimi ndio niwe house husband na babysitter wa watoto wetu wawili. Very unfortunately, nilishindwa nikamwacha wife US na kurudi Bongo.
Long distance relationships doesn't work well Kwa baadhi ya makabila, so does maisha ya u Marioo, yaani mke ndio mwenye kazi, pesa, mimi niwe Marioo. Wasukuma ni one of such tribes.
Hivyo niliporudi kuishi bongo huku wife US, nikajikuta wametokelezea watoto 3. 2 boys and a girl hivyo I had 5 kids. (naomba usiulize ufafanuzi wowote kuhusu hawa watoto 3).
Wife baada ya kumaliza shule with news ya uwepo wa watoto 3, wife akaamua kugomea US hivyo mimi nikawa sina jinsi bali kurudi Bongo na kuendeshea na life.
Mwaka 2008 I suffered a bad motor accident, I was confirmed to a wheelchair!. Hapa akajitokeza kabinti fulani with a heart of gold, she came with love and care , kiukweli mtu ukiwa invalid confined to a wheelchair, akatokea mtu kupenda hivyo ulivyo, ni very rare and amaizing love.
She told me something was telling her tukijaribu pengine, nitaweza kupona. She made some efforts tukahangaika huku na kule, tukaenda South gharama zikatushinda , tukaenda India, ndiko nilikoponea na kusimama tena!.
Baada ya kupona na kurudi Bongo,
kwanza nitoa shukrani kwa yote niliyopitia
nikajikuta zawadi pekee kwa huyu binti ni ndoa, hivyo 2010 nikaoa tena, by then nikiwa over 40!.Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!
Wana Forum, Salaam. Naombeni kutoa waraka wangu huu wa Shukrani kupitia Jamii Forums kwa Sababu ni Jamii furum hii ndio iliowajulisha wengi kuhusiana na ajali yangu ndipo namimi nilipoijua hivyo nishukuru sana jamiiforums na natoa shukrani zangu mbalimbali. Leo 3/08/09 umetimia mwaka mmoja...www.jamiiforums.com
Kabinti kakanizalia 3 beautiful daughters the number was 8, ilipotokea tena dalili ya ugeni, we didn't say no, then ndio hiyo jana kaleta kidume, na kiukweli hapo sasa ndio mwisho.
P
what a testimony.Leo Ijumaa ya Tarehe 8 April, ni siku yangu ya kuzaliwa, nikiwa nimeipiga mingi nikikaribia 60! ambao ndio umri rasmi wa kustaafu, nikiwa tayari ni father of 8 +1= 9, Grand Pa of 6, and about to retire!.

Duh!..Pasco, umezaa na mkeo? Watoto 8 ni wengi sana. Wanatumia financial, physical and emotional resources nyingi sana kuwahudumia na kuwalea. I think it wasn’t the wisest decision for you to have a baby at this point in your life. Hapo umefulia mzee. Big time.
Safi kazi kaziDaah!!
Nina zaidi ya nusu karne halafu mwezi uliopota nimepata mtoto wa kike!!
Tena sio kwa mke wangu, ni mchepuko, chini ya 30!!
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani wakiwemo wanawake hawa!.Leo Ijumaa ya Tarehe 8 April, ni siku yangu ya kuzaliwa, nikiwa nimeipiga mingi nikikaribia 60! ambao ndio umri rasmi wa kustaafu, nikiwa tayari ni father of 8 +1= 9, Grand Pa of 6, and about to retire!.

Watoto wako wakubwa 2, kwa mke wa kwanza mnashirikiana vyema?Leo Ijumaa ya Tarehe 8 April, ni siku yangu ya kuzaliwa, nikiwa nimeipiga mingi nikikaribia 60! ambao ndio umri rasmi wa kustaafu, nikiwa tayari ni father of 8 +1= 9, Grand Pa of 6, and about to retire!.

Asante sana ndugu yangu Rashidi Jololo , hili ni swali zuri sana na la msingi sana!.Watoto wako wakubwa 2, kwa mke wa kwanza mnashirikiana vyema?
I hope kiporo hakipashwiAsante sana ndugu yangu Rashidi Jololo , hili ni swali zuri sana na la msingi sana!.
Siku zote ndoa inapovunjika, sio wanandoa wote hukubaliana amicably, sometimes kuna bitterness na hostilities, ikitokea mama kuachiwa watoto na baba ku abandons and neglects total child support, usually women becomes very bitter, na humwaga sumu kwa watoto kumhusu baba yao!.
Ndio muhimu sana nawasisitiza vijana, ukimpenda msichana, ukadhamiria kumuoa, it's very good to be friends kwanza, before you are lovers!, go steady.
Hivyo mkiwa friends before your are lovers, ikija ku happen that you can't be lovers anymore, you can still be friends!, hivyo mama hawezi kumwaga sumu kwa watoto against baba yao!.
Mimi we are still friends and sometimes not often, we talk about kids!.
P
No ,mi huwa nabisha sn , inategemea na mtu,watu hawafanani... mama angu (nurse) alizaa akiwa na zaidi ya 40 na wote tuko vzr Tena tulikuwa tuna akili balaa class...dada angu wa ba mkubwa,amezaa akiwa na 43 na ana mimba nyingine Tena very healthy na watt hawana shidaKwa mwanaume Miaka 60 aweza zaa mtoto strong tu
Ila kwa mwanamke mwisho Miaka 40 zaidi ya hapo kuzaa anatafuta matatizo aweza zaa mtoto zezeta au lenye akili nusu.Jinga hasa.
Wanawake pia hukauka mapema hivyo ni vyama kwa mwanamke kuwahi kuzaa mapema ukifika 40 ndio uzae last born vinginevyo utagombana na manesi na waweza zaa kwa operation
Anyway Mayala Mkeo ana umri gani? Kama beyond Miaka 40 be prepared. For the worse
Duh , kwakweli uko sahihi!Asante sana ndugu yangu Rashidi Jololo , hili ni swali zuri sana na la msingi sana!.