Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Hongera broo hiki ni kipaji Mzee ww unakipajiAsante Sana Mkuu Hon Nkundwe , mimi hivi ndivyo nilivyo, niko very honest, frank, trustful, truthfully, very open and very transparent.
P.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera broo hiki ni kipaji Mzee ww unakipajiAsante Sana Mkuu Hon Nkundwe , mimi hivi ndivyo nilivyo, niko very honest, frank, trustful, truthfully, very open and very transparent.
P.
This is the reason behind kupandisha bandiko hili, limefuatiwa na makala ya kina kwenye Nipashe la Leo, na kipindi cha TV cha uelimishaji umma kuhusu secure investment kwa wastaafu watarajiwa kitafuata na naamini kitasaidia wengi.
P
Mkuu Rebeca 83, you are absolutely right, na mimi ni mfano hai, nimefanya public sector, for just 12 years, na sasa niko private sector for 20 years now. Ukisoma tuu heading ya bandiko hili, "Mkuu sijui umelifikiriaje, ila kuwa kwenye nchi isiyo na social security pamoja na Pension ya kueleweka hasa kwa watu waliofanya kazi kwenye private sector huoni kama kuzaa ni changamoto?
ExactlyMaisha hayana formula, what works for you huwezi itumia kwa kila mtu na mwisho,
don’t judge!
Kila la heri !
Makala kwa kiingereza , tunaiitaje ?Asante. Mimi ni Mwandishi wa habari wa kujitegemea na nina safu yangu, weekly, nikiandika kuhusu Economical, political and socially. This week nimetoa makala ya socially.
P
Niliomba safu The Daily News, The Guardian na The Citizen, niliahidiwa kupatiwa nafasi, ila bado sijapewa, labda niwakumbushie tena, ila pia kuandika makala lugha isiyokuwa lugha yako ya asili, ni changamoto, ingawa mimi ni a university graduate,na A-level nimefanya HGL, na nimeishi ughaibuni nazungumza fluent, ila kiukweli kuandika bado ni changamoto.Makala kwa kiingereza , tunaiitaje ?
Mimi Niko 50+ nilikuwa naogopa bure tuu, angalia mwenzagu huyuLeo Ijumaa ya Tarehe 8 April, ni siku yangu ya kuzaliwa, nikiwa nimeipiga mingi nikikaribia 60! ambao ndio umri rasmi wa kustaafu, nikiwa tayari ni father of 8 +1= 9, Grand Pa of 6, and about to retire!.
Sababu ya makala hii ya leo sio kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa, bali kutoa mbinu za changamoto za ulezi katika umri mkubwa kwa huku unajiandaa kustaafu, huku vichanga vinaendelea kuzaliwa!.
Naomba kutoa taarifa ya ujio wa mgeni mwingine kwenye familia yangu, ujio wa mgeni huyu, ume concide na tarehe yangu ya kuzaliwa, mgeni huyu mpya, amebisha hodi Duniani Leo, 8 April, 2022 majira ya saa 4:00 asubuhi, katika hospital ya Aga Khan, na kwa vile mgeni mwenyewe ni kidume, hivyo nimetoa jina langu la Pascal, hivyo ataitwa Pascal Mayalla, Jnr na kuanzia leo mimi nimebadili jina na kuwa Pascal Mayalla Snr baada ya ujio wa Pascal Mayalla Jnr.
Happy Born Day Pascal Mayalla Jnr
Happy Birthday Pascal Mayalla Snr
Paskali
Wacha weee!! 😀Happy birthday Legendary.....
Ludi matizi hakikisha unakula vyakula vya asili,Miaka 60 kidini ndio miaka ya kuishi baada ya hapo ni zawadi tuu...
Mimi kwangu Aluta Kontinua na nikigonga 60 natafuta mwana mwali nimalizie nae dunia😁😁😁 Bina Shadeeya uwongo uwongo!
Nina ndugu mtata.. Wallah nakutoa kwa mkopo Simba Sports Club😁Wacha weee!! 😀
Kweeli Binamu japo kwa mbaali si ajabu ukazisogeza siku zako za kuaga dunia karibu hasa pale ambapo utafanya uchaguzi usiyo sahihi.
Acha fikra potofu. Mama yangu alinizaa akiwa 45 na baba akiwa 6o, likini nikazaliwa mtoto bright hadi nikachaguliwa shule vipaji maalum. Na sasa hivi niko njema huko kazini.Kumuona sura au akili huyo mtoto wa Pascal Mayala? Sura aweza kuwa vizuri shughuli kwenye akili .Toto la baba mzee na Mama mzee changamoto hata akizaliwa mzima iko kwenye akili mbele utaliona performance shule kuwa kuna walakini hata ulipeleke shule nzuri
Hahahaa. Lol.Nina ndugu mtata.. Wallah nakutoa kwa mkopo Simba Sports Club😁