Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako

Hii makala tamu sana
 
Hayat mtu mnene hakufanya urafiki kwanza, alioa akazaa, ndoa ikaisha. Akaacha watoto, mama akabikamu bita na kujaza sumu mbaya sana kwa watoto. Hata alipotaka amani na watoto, wakakimbilia kwa dada kimbaumbau na kuharibu sana mtandaoni, anyway case closed.
 
Huyo ni exceptional kama Sara wa kwenye Biblia aliyezaa mtoto wake wa kwanza Isaka mwenye akili nyingi akiwa na umri wa miaka 90

Sio kitu cha kawaida lakini kuna exceptionally kwa wachache sana kwenye dunia

Kuzaa at 40 years sipendekezi ni Risk zone for many women
 
Kuna Mwanamke ana 35 juzi ameenda clinic coz anakaribia kujifungua...Daktari wa Wanawake akamshauri asichelewe kuzaa watoto wengine kwsbb misuli ya uzazi imeshakomaa

Alikuwa disappointed sana siku nzima, nilimwonea huruma

Sasa akifika 40 sijui kama itawezekana tena
 
Kuna mother ana age 54 ana breed,dah yani sijahamini kabisa
 
Kuna mother ana age 54 ana breed,dah yani sijahamini kabisa
Hahaa
Ndio wapo mama angu aliniambia vijijini wako wengi tu umri huo wanao breed.
I think na vyakula pia vinachagia.
Hivi Kuna mdada Marekani at 51 amezaa,mpk NBC walitangaza.
Sa huyo akifika 90 mtt ana 30 si ana familia yake hapo,😅Tena wanamtumza mama Yao vzr.
 
Hana Imani
Mi jmn Dr sio msemaji wa mwisho,ila Mungu. hospital naenda, nasikiliza na kufuata
Baadhi ya ushauri lkn siachi kumuomba Mungu!
 
Wala sshv watu wanazaa tu mbona
Cha mhimu,afya iwe vzr nenda hospital,sikiliza na fuata ushauri wa dr
 
Asante kwa ushauri mzuri, kwa umri wangu mimi ni mwanao na nime pokea vyema.

ila mzee wetu Pascal Mayalla kuoa katika umri huo, ni sahihi kwa vijana wa Sasa au tusubiri??
Mimi nilioa at 25 wife 21, tulikuwa vijana sana na hatujamaliza ujana!. Matokea wife yuko US mimi Bongo, hivyo umri mzuri wa kuoa mwanaume 30, mwanamke 25!.
P
 
Leo Ijumaa ya Tarehe 8 April, ni siku yangu ya kuzaliwa, nikiwa nimeipiga mingi nikikaribia 60! ambao ndio umri rasmi wa kustaafu, nikiwa tayari ni father of 8 +1= 9, Grand Pa of 6, and about to retire!.
Hayo mwachie Mungu, kuna watu hupoteza watoto dakika hizohizo za ustaafu, wanalazimika kuanza upya, usiombee machungu wanayopitia watu hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…