Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 545
- 1,191
Alaa, Kumbe.Suala la kudinda hata ukiwa mtoto lipo palepale, maumivu hayakwepeki.
Dah! Mimi nilichomwa ganzi lakini maumivu niliyopata baada ya ganzi kuisha, nilijuta kutahiri. Halafu kwa waliooa ni changamoto,fikiria una mke halafu kupona kabisa miezi 3 au 4!Nilitahiriwa nikiwa na miaka 21, nyumbani, kienyeji Na bila ganzi! Sikulia wala Hata kupepesa macho sikupepesa na sikushonwa Wala sikuwekewa dawa yeyote. Nilikunywa Supu mchana na usiku na kula nyama choma, in short chakula changu kilikuwa ni myama na maji yangu yalikuwa ni damu ya ng'ombe iliyochanganywa na maziwa mgando. Nilipona automatically baada ya miezi miwili[emoji1548][emoji1548]
Kwanini ulichelewa hivo?Dah! Mimi nilichomwa ganzi lakini maumivu niliyopata baada ya ganzi kuisha, nilijuta kutahiri. Halafu kwa waliooa ni changamoto,fikiria una mke halafu kupona kabisa miezi 3 au 4!
Nakumbuka babu alikuwa anakaa na kirungu kidogo chakutupiga ugoko au kiwiko ila mshua alale galfa kuokoa jahaziNilitahiriwa nikiwa na miaka 30 tena nikiwa nimeoa tayari. Ilikuwa shida sana, ngoma inaweza kudinda with no apparent reason, sasa zile nyuzi zikivuta ni maumivu makali kweli kweli. Nilijuta kwa nini niliamua kufanya tohara.
It was a sruggle! what about you?
Nilitahiriwa nikiwa na miaka 30 tena nikiwa nimeoa tayari. Ilikuwa shida sana, ngoma inaweza kudinda with no apparent reason, sasa zile nyuzi zikivuta ni maumivu makali kweli kweli. Nilijuta kwa nini niliamua kufanya tohara.
It was a sruggle! what about you?
Haya ndiyo makabila yanayoongoza mkono wa sweta?Samahani Wewe ni Mhaya au Mhehe?
Mhaya, boss kwani wahaya na wahehe kulikoniSamahani Wewe ni Mhaya au Mhehe?
Mhaya ukiona kafanyiwa tohara kule kijijini mapema ni Muislam.Mhaya, boss kwani wahaya na wahehe kulikoni
kweli kabisa.Mhaya ukiona kafanyiwa tohara kule kijijini mapema ni Muislam.
Duuuh kwa hiyo wahaya wengi bado wanamikono Ya sweta [emoji1787]Mhaya ukiona kafanyiwa tohara kule kijijini mapema ni Muislam.
Tumuulize mtoa mada atupe ushuhuda labda ndiyo sbb yeye kachelewa mkuu.Duuuh kwa hiyo wahaya wengi bado wanamikono Ya sweta [emoji1787]
Kanda ya ziwa hakuna utararibu wa kutahiri, ukiona mtu katahiriwa basi ni mwislamu au kakutana na zahama ya kuchekwa akiwa shuleni au kulazimishwa na bint (mpenziwe)!Duuuh kwa hiyo wahaya wengi bado wanamikono Ya sweta [emoji1787]
sasa mke alikubaliana na new machine?Dah! Mimi nilichomwa ganzi lakini maumivu niliyopata baada ya ganzi kuisha, nilijuta kutahiri. Halafu kwa waliooa ni changamoto,fikiria una mke halafu kupona kabisa miezi 3 au 4!