Changamoto za kutahiri ukubwani

Changamoto za kutahiri ukubwani

Grand Canyon

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2020
Posts
545
Reaction score
1,191
Nilitahiriwa nikiwa na miaka 30 tena nikiwa nimeoa tayari. Ilikuwa shida sana, ngoma inaweza kudinda with no apparent reason, sasa zile nyuzi zikivuta ni maumivu makali kweli kweli. Nilijuta kwa nini niliamua kufanya tohara.

It was a sruggle! what about you?
 
Nilitahiriwa nikiwa na miaka 21, nyumbani, kienyeji Na bila ganzi! Sikulia wala Hata kupepesa macho sikupepesa na sikushonwa Wala sikuwekewa dawa yeyote.

Nilikunywa Supu mchana na usiku na kula nyama choma, in short chakula changu kilikuwa ni myama na maji yangu yalikuwa ni damu ya ng'ombe iliyochanganywa na maziwa mgando. Nilipona automatically baada ya miezi miwili[emoji1548][emoji1548]
 
Nilitahiriwa nikiwa na miaka 21, nyumbani, kienyeji Na bila ganzi! Sikulia wala Hata kupepesa macho sikupepesa na sikushonwa Wala sikuwekewa dawa yeyote. Nilikunywa Supu mchana na usiku na kula nyama choma, in short chakula changu kilikuwa ni myama na maji yangu yalikuwa ni damu ya ng'ombe iliyochanganywa na maziwa mgando. Nilipona automatically baada ya miezi miwili[emoji1548][emoji1548]
Dah! Mimi nilichomwa ganzi lakini maumivu niliyopata baada ya ganzi kuisha, nilijuta kutahiri. Halafu kwa waliooa ni changamoto,fikiria una mke halafu kupona kabisa miezi 3 au 4!
 
Nivema kutahiri ukiwa mtoto kwani hata uponaji huwa ni haraka. lakini kuna jamaa yangu aliwahi kuniambia sio vema kumtahiri mtoto chini ya umri wa miaka 5 akanambia kuwa inaweza kuathiri ukuaji wa mashine nakupelekea matoto kuwa na mshine ndogo kuliko kawaida maarufu kama kibamia atakapokuwa mkubwa ..sijui kuna ukweli gani hapo jamani...
 
Dah! Mimi nilichomwa ganzi lakini maumivu niliyopata baada ya ganzi kuisha, nilijuta kutahiri. Halafu kwa waliooa ni changamoto,fikiria una mke halafu kupona kabisa miezi 3 au 4!
Kwanini ulichelewa hivo?
 
Nilitahiriwa nikiwa na miaka 30 tena nikiwa nimeoa tayari. Ilikuwa shida sana, ngoma inaweza kudinda with no apparent reason, sasa zile nyuzi zikivuta ni maumivu makali kweli kweli. Nilijuta kwa nini niliamua kufanya tohara.

It was a sruggle! what about you?
Nakumbuka babu alikuwa anakaa na kirungu kidogo chakutupiga ugoko au kiwiko ila mshua alale galfa kuokoa jahazi
 
Nilitahiriwa nikiwa na miaka 30 tena nikiwa nimeoa tayari. Ilikuwa shida sana, ngoma inaweza kudinda with no apparent reason, sasa zile nyuzi zikivuta ni maumivu makali kweli kweli. Nilijuta kwa nini niliamua kufanya tohara.

It was a sruggle! what about you?

Samahani Wewe ni Mhaya au Mhehe?
 
Na jamaa wa kanda ya ziwa, nilitahiriwa nikiwa std 3!!!! Zile nyuzi zilifumuka. Dawa ya macho ile kama mafuta ya mgando iliokoa jahazi!!
 
Duuuh kwa hiyo wahaya wengi bado wanamikono Ya sweta [emoji1787]
Kanda ya ziwa hakuna utararibu wa kutahiri, ukiona mtu katahiriwa basi ni mwislamu au kakutana na zahama ya kuchekwa akiwa shuleni au kulazimishwa na bint (mpenziwe)!
 
Dah! Mimi nilichomwa ganzi lakini maumivu niliyopata baada ya ganzi kuisha, nilijuta kutahiri. Halafu kwa waliooa ni changamoto,fikiria una mke halafu kupona kabisa miezi 3 au 4!
sasa mke alikubaliana na new machine?
 
Back
Top Bottom