Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Mtu amemaliza St. Augustine University lkn pale kwenye course hakuna bachelor kuna certification na diploma tuu
Msaada wenu tafadhali
 
Mtu amemaliza St. Augustine University lkn pale kwenye course hakuna bachelor kuna certification na diploma tuu
Msaada wenu tafadhali
kuwa mpole tu bro watarekebisha mfumo kadri siku zinavyoenda na bado naamini watasogeza muda mbele kwa hiyo kila kitu kitakaa sawa tu kwa sasa we jaza chochote ili maombi tgen kadri wanavyobadili mfumo na wewe unarekebisha simple tu. nimemjazia wife vitu vingi tofauti na iko 100 now
 
Gud, hapo kwenye viambatanisho vingine tunaweka vitu gn, chet cha kuzaliwa tayari kipi kingine
 
Mkuu, hongera kwa kufika kote huku, mimi nimefika kwenye kujaza taarifa za chuo nimefanikiwa kujaza kote ila kwenye Year completed na ku- upload vyeti, College certificate na Transcrip imegoma kabisa.. Umefanyaje msaada tafadhali
Hii changamoto nami ndo napambana nayo hapa,naumiza kichwa cha kufanya niweze kuselect course mwaka wa kuhitimu na ku-upload vyeti bado ni shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka kubadilisha attachment ya cheti Cha kuzaliwa kwenye taarifa binafsi, nafanyaje wakuu au ndo imekula kwangu mana nimekosea
Kwenye attachment ya cheti Cha kuzaliwa nimeweka cheti kingine
Ipo option ya kuondoa
 
Nmefanikiwa kujaza, sasa nimeacha hapa kwenye machaguo, nasubiri wataalamu mje mnipe mawazo yenu hapo kwenye machaguzi
 
Hapa kwenye kujaza mikoa ya kufundisha, vp kama itakuwa imebanwa kote wataweza kumpeleka mtu mkoa mwingine au ndo ukichagua ndo huko huko.?
 
Mimi nashindwa kwenye kujisajili baada ya kujaza Particulars app kwenye kubonyeza ili kuendelea hapabonyeki, Msaada wadau ninakosea wapi
 
Nakazia hapo kwenye mb. Mm vyote ni kb 200
 
Halafu vp kuhusu sehemu ya kujaza shule niliyosoma maana wanaleta option mbili. O level na Advance. Sasa nichague ipi niache ipi
 
Je hata walioomba mwaka wa jana wanahitaji kujisajili upya ndio waombe au wanalogin tu?
 
msaada jamani, kila niki login inaleta unauthorized user na wakati username na password ni sahihi
 
Nimefanikiwa kutuma maombi muda huu teaching subjects zangu ni Geography na Economics , ila kilichoniuma ni baada ya kutoiona economics kule ndani , nimesikitika kuona hilo somo halina uhitaji. Maana nilitegemea lingenisaidia kwenye kupunguza ushindani .

Imeniuma sana hasa kila nikikaa vile nilivyokuwa nateseka nalo huku nikipigwa mikuki mikali ya Dr oswald mashindano , Dr osolo , madam mkenda , Dr joel bila kumsahau mdadila kumbe somo lenyewe hata siyo marketable kwenye uwanja wa ajiraaa .
 
Vumilia mtandao ukae Sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…