Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Wakuu mkijaribu kufungua vyeti vyenu huko inakuaje? Mimi nimejaribu wanaandika failed to read file
 
Screenshot_20220427-230659.png
wakuu nikitaka kuangalia cheti inaonyesha hivyo shida nini
 
Mkuu mimi nimechagua kwanza shule nikasave kwa pamoja ndio nikaweka barua.

Sasa nilikuwa nataka nibadilishe barua niweke nyingine maana kuna sehemu nimegundua makosa.

Je nikiweka barua mpya nitatakiwa na shule nichague upya?
Hakuna mtu anayesoma barua Tamisemi narudia hamna anayesoma barua 120k
 
Kwa upande wa taarifa za chuo kama umekosea unaweza kubadilisha?
kwa computer ndio rahisi....
utabonyeza hapo kama picha inavyoonyesha...
taarifa.JPG



ukishabonyeza hapo itafunguka....kama kiambata kitakavyoonyesha hapo chini...kisha utabonyeza hiyo alama iliyozungushiwa duara
mpyaaa.JPG

utabadilisha taarifa zako kama unavyo taka kisha unasave...
binaaaa.JPG

au....unaingia
kwa kubonyeza kama picha inavyoonyesha
chuo.JPG

harafu unaondoa hiyo taarifa kwa kubonyeza sehemu ya ondoa...baada ya hapo unaweka taarifa zako upya
chuooo.JPG

ukishindwa niambie haraka iwezekanavyo...ila usisahau kuwa hayo yote yanawezekana kwa urahisi ukitumia computer...kwenye simu sina uhakika
 
Geography can not be with Economics , wakuu kila nikiadd somo la economics nakutana na ujumbe huo hapo juu .
Nimejaribu kuanza na Economic nilivyoongeza geography tena imeniambia
" economics can not be with geography "
Sasa wakuu nafanyaje kwenye hii changamoto ?..
weka geography...baada ya hapo chaguo shule zako 2 au tatu kisha rudi kaifute geography...harafu nenda kaongeze shele zako za economic...mpaka hapo utakuwa umewaweza..awawezi kutuzingua
 
tatizo sugu kwa ndugu zangu wa kada ya afya...kwakweli hili tatizo nimehangaika nalo ili niweze kuwasaidia baadhi ya marafiki zangu mnao jaribu kuomba ila nimeshindwa...tutegemee kudra za mwenyezi Mungu...tamisemi walitatue hili tatizo mapema....mikoa haifunguki...kwa baadhi ya kada
afyaaaaaaaaaaaaaa.JPG
 
tatizo sugu kwa ndugu zangu wa kada ya afya...kwakweli hili tatizo nimehangaika nalo ili niweze kuwasaidia baadhi ya marafiki zangu mnao jaribu kuomba ila nimeshindwa...tutegemee kudra za mwenyezi Mungu...tamisemi walitatue hili tatizo mapema....mikoa haifunguki...kwa baadhi ya kadaView attachment 2203378
Ukishindwa wewe usiseme ni tatizo sugu. Ulizia kwa anaejua mbinu mbadala uelekezwe huwezi jua vyote kwenye hii Dunia
 
Back
Top Bottom