Changamoto za uke wenza

Nshakula sana hawa, ngumu kuridhisha wote wawili ni suala la kutazama jicho la tatu nmestaafu now
 
Kuridhisha wake wawili kimwili si kazi ndogo vilevile ukishakuwa na mke zaidi ya mmoja mapenzi hayawezi kuwa sawa lazima mwanamke ataenda kutafuta faraja nje
Ni tabia. Watu wameona mke na mume tu bila mitala wanachepuka. Hata huko mwanamke anapoenda mara nyingi anaenda kwa mume wa mtu. Yale yale.
 


Nyoka_mzee unajuwa hii kitu kina baba wengi wanachukulia kiubabe zaidi kwani mara nyingi utakuta suala la kuoa mke wa pili linakuja pale mwanamme anapokuwa na uhusiano wa muda mrefu na nyumba ndogo yake kisha anahamua kumletea bi mkubwa. Jamaa penzi likimkolea huko nje ndipo anakuja kumwabia mke mkubwa kuwa nina mpango wa kuoa mke wa pili.

Mwanamke (mke mkubwa) anaumia ila anashindwa kumkatalia jamaa kwa kuwa kishahamua tayari. Kinachofuatia hapa ni kushindana kati ya hawa wanawake pamoja na kufanyiana vituko, na mara nyingi penzi linaelemea upande mmoja kwani siku zote penzi haligawanyiki.

Haki ya tendo la ndoa ni ya kila mtu hata kwa yule asiyeoa wala kuolewa kwani nyege haina hodi wala haibu....sasa mtu umeolewa kwa nini usubirie mtwangio wako urudi baada ya wiki wakati mimi niko free nyumba ya jirani? Mtihani huo.
 
Umeshakuwa katika ndoa za mitala?!


Ukweli ni kuwa hamna mwanamke anayetaka mumewe aoe mke mwingine


Kama unampenda mumeo siku akikwambia anataka kuoa mke mwingine mapenzi yatapungua kwa asilimia kubwa kama sio kwisha


Kweli kabisa....tukutane nikupe offer ya nguvu.
 


Nyie madereva ni ngoma droo na wake zenu.....huko safarini mnachapa kama hamna akili na wake zenu wanachapwa kama hawana akili. Nyege haina mpaka, inapokujia mtu unashindwa kujizuia. Madereva wangapi wanapinduka na magari wakipiga nyeto baada ya utamu kuwakolea? Jiulize kwa nini mtu anahamua kubaka mbuzi kijijini au kuku kama akikosa demu? Au kwa nini kina Mama wanatumia ndizi na karoti kujinafasi? Nyege kwa kweli ni mfalme wa raha zote hapa duniani. Nyie kunyweni bia zenu au soda, niachieni wanawake zangu nijinafasi.
 
Usiwe muwoga mkuu ushafaham madhaifu kilichobaki ni wewe ku workout on them ila zingatia yafwatayo

1. Hakikisha unawo uweza wa kuwamudu wote kimaisha na kimapenza tembeza pweza asaaa mana apo wengi
ndo wanashindwa

2. Kuwa muadilifu kwa wake zako wote hii itasaidia sana kupunguza maneno

3. Hakikisha misingi ya dini inatawala katika family yako hii itazidisha upendo kwa wakezo. n.k
 
Hahaha dah umeniacha hoi sana mkuu imebidi nicheke tu,

maana jambo hili huwenda watu wakalichukulia mzaha ila wake wengi za watu wanaliwa yaan kwenye kumi 7wanaliwa watatu ndo wanasalimika
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

kwahiyo hao madereva ngoma drooo na wake zao ,

wao wakigegeda uko wake za watu , uku nao wake zao wanagegedwa ,
[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…