Changamoto za uke wenza

Changamoto za uke wenza

Ukiwakuta vijiweni na humu jf wanavyojazana upepo utafikiri imo, wakati katika hali halisi hata wake zao kuwatosheleza wameshindwa.
wachepukaji mko wengi kumbe JF..... Huu ni ushahidi tosha kwamba nyie akili zenu ni kutaka kugegedwa tu na si chengine, mana nkisoma michango yenu mmeshikilia mambo ya kugegedwa tu. Wanawake wa aina yenu hata muwe na mwanaume mmoja hamtoridhika, mtachepuka tu! KUCHEPUKA NI TABIA YA MTU TENA NASEMA NI TABIA YA KIKAHABA, hakuna justification ya kuchepuka! Khalas!
 
Wanawake idadi yenu duniani ni nyingi sana, wengine watataka kuolewa lakini watakosa waume ikiwa kila mmoja na mmoja tu. Mume hata awe na wake tisa, kama ana maadili na anaifahamu dini yake basi hawezi kupunguza upendo kwa wa mwanzo na kuendelea ukasema eti anampenda wa mwisho zaidi. Ndio maana tukaambiwa kwa mwenye uwezo, uwezo huo ukiwa wa kugegeda na kuwafanyia uadilifu basi ongeza. Hivi ikiwa mke tasa, je umuache kwa sababu hazai na ukaoe anaezaa? atajiskiaje yule mwanamke ambae hazai? kwamba hana haki ya kuolewa? lakini badala ya kumuacha basi unaongeza mwengine ili ukuze familia. Wapo wanawake waloridhika kwa nafsi zao mume wake kuwa na wake wanne. kama huwezi wewe usiwawesemee wengine.
Kiubinadamu hakuna kitu kama hicho, ni vile tu dini inalazimisha hivyo mtu anakuwa hana jinsi. Kwahiyo ukikosa pesa unaamua kuiba kwakuwa hauna pesa na una mahitaji unayotakiwa kuyatimiza? Ushawahijiuliza kwanini wanawake ni wengi kuliko wanaume? Au kwakuwa akili iliishia kwenye tamaa za kimwili basi suluhisho ni kuoa zaidi ya mmoja!!
 
wachepukaji mko wengi kumbe JF..... Huu ni ushahidi tosha kwamba nyie akili zenu ni kutaka kugegedwa tu na si chengine, mana nkisoma michango yenu mmeshikilia mambo ya kugegedwa tu. Wanawake wa aina yenu hata muwe na mwanaume mmoja hamtoridhika, mtachepuka tu! KUCHEPUKA NI TABIA YA MTU TENA NASEMA NI TABIA YA KIKAHABA, hakuna justification ya kuchepuka! Khalas!
Haya kahaba mwenzetu.
 
Haya kahaba mwenzetu.

Hahahaa.... Mi siwezi kuwa kahaba, sijawahi kwenye maisha yangu kusapoti mke au mume kuchepuka.... Anaesapoti kuchepuka ndio Kahaba na yeye ndio mchepukaji...... Pole kama imekugusa
 
nipo kwa njia naenda kulala kwa mchepuko wangu ni mke mdogo wa jamaa hapa mtaani

maombio yenu jmani😀😀😀
 
Wewe ndio akili zako ziliishia katika tamaa za kimwili maskini na ndio maana post zako zote unaongelea masuala ya mwanaume uwezo wa kugegeda hapa...... sijaona post yako ambayo umezungumzia suala la familia, bali ni mgegedo tu. Wanawake ni wengi ukiachilia mbali kuwa wanazaliwa kwa wingi, wanaume umri wa kuishi kwao kuwa mdogo kutokana na majukumu ya kidunia, mfano unakuta jeshi lina wanaume wengi sana, wanapoenda vitani wengi wanaokufa ni wanaume. Swala lako kuhusu kukosa pesa sijafahamu umekusudia kuliweka vipi, lakini nalirudisha huko huko kwako, unapokosa pesa na kwenda kuiba ni sawa na kuchepuka, ila unapokosa hela kisha ukatafuta njia nyengine ya kutimizi uloyahitaji ni sawa na kuongeza MKE (si mlupo au kahaba - ndo wizi huu). Sasa nakurudishia, we ukikosa hela kutimiza unayoyahitaji waenda nje ya njia halali za kutimiza malengo yako?

Sasa ulitaka nicomment nini ikiwa mada inazungumzia hilo la mgegedano!! Au mnaoana ili mkapige picha??
Hata wewe post zako zimezungumzia hilohilo maana ndilo la msingi kwanza hayo mengine mbwembwe tu.
 
Hahahaa.... Mi siwezi kuwa kahaba, sijawahi kwenye maisha yangu kusapoti mke au mume kuchepuka.... Anaesapoti kuchepuka ndio Kahaba na yeye ndio mchepukaji...... Pole kama imekugusa
Haichukui muda kwa kahaba kumtambua kahaba mwenzie. Basi sawa kahaba mkuu.
 
Maisha ya hapa duniani ni mafupi sana na kusema kweli hakuna jambo lolote kabisa linaweza kumpa binadamu raha au furaja. Si pesa, simali, si mke/mume. Nionavyo afya ya akili na mwili ndivyo vitu muhimu kupita vyote.

kwa hiyo kuoa mke mmoja au wengi au kuwa na mpenzi mmoja au zaidi hakukamilishi hata kidogo furaha ya mwanadamu.

kuoa au kuolewa kunaweza kuwa ni tatizo na pengine kuna watu watafikiria ni bora kuepuka jambo hili. Tafakari kwa nini watu husema PINGU za maisha. connotatively pingu ni nini hasa? kwa nini hili neneo lilipachkwa hapo.

Mkuu kuhusu mchepuko ni vema mtu akapuuzia tu na kuviziavizia hakusaidii mwili na akili badala yake huunyong'onyeza na kusononesha akili!
 
Back
Top Bottom