Changamoto za uke wenza

Changamoto za uke wenza

Kwa zama hizi za chipsi yai ,kubalance kombi ni ishu ngumu,

Yaan ukipata mzuri kitandani basi ujuwe uchumi uko hovyooo.

mungu hakupi vyote mtuonee huruma
Nguvu za kitandani Mungu aliwapa wala msimsingizie, nguvu ya uchumi inatafutwa hivyo muitafute.
 
kitu ambacho nawakubali mademu.. ukimuuliza.. "baby nimekurizisha!" anakujibu "ndiyo..!!!" ha!!!! ha!!!! ha!!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Jinsi tunavyowapenda, tunawabebea madhaifu yenu ili mjisikie vidume. Ila nyie sasa chaaah!!
 
Unaoa wa pili wa nini ilhali wa kwanza tu humsugui vizuri... Utasaidiwa tu hamna namnaa.,
 
Ndoa ni kuridhishana hata kama una kibamia,ikitokea mzee anataka kuongeza mke mwingine basi wewe jua ya kua kuna kapoint hajaridhika nako na wewe ndio maana anaongeza mtaa wa pili basi na wewe mke RUKSA nawe kutafuta alipopungukiwa mumeo hapo mtukuwa sawa ndoa ili ile na kila mmoja anaridhika anachopata...
 
Mkuu unajua mambo yanaenda kwa kubadilika,
Nimechunguza sana hili jambo mpaka nikaamuwa kuleta uzi huu ,yaan kwa dunia ya sasa tatizo linakuja ukishamiliki wake wawili ,hili jambo watoto wa kike hawezi vumilia hata awe amesoma dini vipi ,kwa mke mmoja si shida ila ukiongeza jiko tu ndo shida zinaanzq ,akiwa peke yake anaweza kukuvumilia mengi sana na hata asikusaliti hata uwende wapi mkuu ila shida ukiongeza tu,yaan hapo ndo utawajua wanawake ni viumbe wa namna gani ,

japo wapo waliotulia na wavumilivu hata ukiongeza ila asilimia kubwa wako ivyooo
Mtu nitulie na kuvumilia kwa lipi wakati unaona sikufurahishi hadi umepata wa pili, na bora uchepuke tu hadi unaoa kbs,stress za ninii..wakati watongozaji wamepanga foleni wanasubiri yes.,
 
Shida ni moja mkuu ,maumbile ya mwanamke hayaruhusu kumilikiwa na mwanaume zaidi ya mmoja wanaforce tu mkuu,
Hapo tatizo sii maumbile,tatizo ni moyo,sote ni binaadam tuna mioyo sawa, kama nyie wanaume mnavyo tukinai mkatamani wanawake wengine nasisi ni hivyo hivyo,cha msingi ni kuvumiliana tuu na so kwa sababu wewe ni mwanaume ndio utumie uanaume wako kumsononesha mwenzio,na ninaimani hakuna mwanamke anayehitaji ukewenza kwani mapenzi hayagawanyiki ,nasi tuna moyo si jiwe mengine mtupunguzie.
 
Ndoa ni kuridhishana hata kama una kibamia,ikitokea mzee anataka kuongeza mke mwingine basi wewe jua ya kua kuna kapoint hajaridhika nako na wewe ndio maana anaongeza mtaa wa pili basi na wewe mke RUKSA nawe kutafuta alipopungukiwa mumeo hapo mtukuwa sawa ndoa ili ile na kila mmoja anaridhika anachopata...
 
mkuu hili jambo kwa mtoto wa kiume ni gumu sana tusidanganyane,kama utaowa mke mmoja basi jua utakuwa na mchipuko,hakuna anaweza himili hili,inafika mahali utataka kubadilisha kitoweo
Sasa kumbe mwanamke ndo hahitaji kubadili kitoweo!? Basi nae ni halali kuwa na Mchepuko kama nawe unaona ni halali kuwa nae, kuwa na mwanamke mmoja inawezaje kuwa ngumu kwa mtoto wa kiume! Unataka kusema wanaume wote duniani wana wanawake wawili wawili! Au ni kichwa ngumu tu na kukariri. Haya huyo unaemchepukia we ndo unasababisha awe na mchepuko ukimchepukia inamaanisha wewe ndo mchepuko wake na mkeo pia atakuwa na mchepuko sababu kuna mwanaume ambae hawezi kuishi bila mchepuko hivyo itakuwa ni mchepuko cycle
 
Mbona wapo wenzenu wanaishi na mume mmoja wao wako wanne na hakuna anaechepuka? na wanaishi kwa furaha tu. Mapenzi hayaishii kwa mmoja tu ukiwa unatimiza majukumu yako katika ndoa kwa mumeo. mapenzi yanaanza kuisha pale unapojenga dharau kwa mumeo. wanawake wa siku izi bana.... eti na yeye akatafute kafaraja.... yaani akili zenu zimekuwa kingonongono tu. Ndo maana mtaendelea kutumiwa vizuri....mkiona fahari eti...
Hebu ongelea uhalisia acha mambo ya kufikirika, hakuna kitu kama hicho wewe!! Hakuna mwanamke anaeridhika kwa moyo mmoja mumewe kuoa mke mwingine ni vile tu dini inalazimisha. Hivi mume ana wake wanne alau umpende upendo uleule ambao ungempenda akiwa na wewe tu!!! Hebu hata wewe fikiria kidogo, inakuingia akilini?
 
Hakuna mwanamke anapenda uke wenza wanaolewa kwa sababu ya umaskini wao. Ndio maana waarabu hawataki wake zao wakifanya kazi na kusoma ili wasijitambue na waendelee kuwa maskini.
 
Eeeh ndio

Nani anataka dushe la foleni? Mambo ya zamu.????

Wakati wewe unaliwazwa na yeye analiwazwa.....unadhani kuna mwanamke anapenda ukewenza????


Ila wanaume viumbe wa ajabu sana....

Kumridhisha mwanamke 1 tu kazi sasa unapowapanga 11 unategemea nini???


Mswati tu na ufalme wake amechapiwa....


(
Kuchapiwa kawaida Mkuu.

Mimi Mpenzi wangu mwenyewe nimempa ruhusa ya kuchepuka. Ila kwa sharti moja nalo ni nisijekujua.

Na nimemuahidi Kama atachepuka kwa mwezi mzima Mimi bila kujua basi nitamsamehe na kumwona amenizidi akili. Lakini ikiwa ni siku moja au ndio kwanza wiki ya pili lazima atamtukana Mungu wake kwa kumuumba.

Mwanamke achepuke Kama anaakili za kunifanya nisijue ndani ya mwezi mmoja.
 
Nyie mmeona kuoa wake wengi tu ndio sunna na ndio mafundisho ya dini lakini kumsaidia mkeo kazi,kwenda sokonin n.k kwenu sio sunna
LadyAj😛unguza jazba kwanza twende taratibu ,hapa tupo kwenye kuangalia changamoto za ndoa za mitala na makosa yapo wapiii,

Kuowa mke zaidi ya mmoja ni jambo ambalo Dini imeruhusu kabisa pasina shaka ,ila pia Ikaweka taratibu ambazo ukikidhi vigezo ,basi Ruksa kuowa mke wa pili.

Sasa wengi wamejikuta wanaowa mke zaidi ya mmoja ila uwezo hawana ,na uwezo nnaouzungumzia hapa ni ule wa kuwatosheleza ki mwili na hapa ndipo matatizo yalipoanzia .


Tukija katika swala lako kwamba Sunnah ipo hii tu, hapana sunnah ziko nyingi sana na ambazo zote tunapaswa kushikamana nazo kama yalivyokuja katika mafundisho,bila kubagua hiki kinkupendeza unafanya ,kile hakikupendezi ukaacha ...

Hapana hili si sawa yote tunatakiwa tuyafate na kuyatekeleza kwa kadri tuwezavyo

Nyie mmeona kuoa wake wengi tu ndio sunna na ndio mafundisho ya dini lakini kumsaidia mkeo kazi,kwenda sokonin n.k kwenu sio sunna
 
Ukioa mwanamke Bikra unaafadhali kidogo kuliko kuoa Jianamke lililotembea na wanaume wengi.

Kama vile alivyokuwa akiogopa kutolewa bikra ndivyo atakavyoogopa kuchepuka. Na Kama atachepuka basi itamchukua muda kushawishiwa au kujishawishi kutoka nje.

Ndio maana bado ninamitazamo ya kizamani. Watu wazamani pamoja na kutokuwa na elimu ya darasani lakini walikuwa nondo kwenye maswala ya kijamii.

Siku hizi unakuta MTU anadigrii hata tatu lakini hajui namna ya kumridhisha mwanamke kitandani. Hajui namna ya kumfanya mwanamke akuheshimu.

Mwanamke asipokuheshimu hayo ndio madhara yake. Na heshima huletwa na mambo mengi ikiwamo shughuli kitandani.
 
Back
Top Bottom