Mkuu unajua mambo yanaenda kwa kubadilika,
Nimechunguza sana hili jambo mpaka nikaamuwa kuleta uzi huu ,yaan kwa dunia ya sasa tatizo linakuja ukishamiliki wake wawili ,hili jambo watoto wa kike hawezi vumilia hata awe amesoma dini vipi ,kwa mke mmoja si shida ila ukiongeza jiko tu ndo shida zinaanzq ,akiwa peke yake anaweza kukuvumilia mengi sana na hata asikusaliti hata uwende wapi mkuu ila shida ukiongeza tu,yaan hapo ndo utawajua wanawake ni viumbe wa namna gani ,
japo wapo waliotulia na wavumilivu hata ukiongeza ila asilimia kubwa wako ivyooo