Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
Dah mkuu nimekupata sana tena sana .Nilikuelewa mkuu. Naomba nikwambie kitu mkuu kiumbe anayeitwa Mwanamke hachana nae kabisa hata ungemfanyia nini umfanye mpaka atoke damu mkuu ni kazi bure. Tuzidi kuomba tu yasitukute maana katika kufatilia kwangu nimeona hakuna namna unaweza kumfanya mwanamke asikazwe nje miaka yote ya ndoa yako.
Kama ilivyo kwako hata wao wanatamani sana. Nitakupa mfano. Nina Jirani yangu wake zetu waligombana kisa jirani kamtongoza wife wngu mimi nilipojua nilipuuza maana niliambiwa wamekataana na hata kama ningejua kala nilikuwa nideal na wife na hakuna namna ilikuwa ni kumuacha tu huo ndio msimamo wangu. uwezi kuamini mke wa jamaa alikomaa na mmewe ili waje kwangu kumuuliza mke wangu na walikuja usiku wa manane mie nilichukulia poa tu na mke wangu alifikiri Sikuwa nimeishaiijua hiyo issue.
Basi mme wa jamaa alishangaa alipoanza kujiapiza na wife anakazia kuwa ame mtongoza na kumuitia mashahidi mie nilibaki nacheka tu.
Siku mbili mke wa jamaa alinipigia Simu akiomba anione na tulipoona aliomba kutombwa si kitu kingine .
Nikataka nijue issue ni ile au ni kitu kingine? Kaka niliambiwa mambo mengi sana . Kumbe mme akija amelewa uwa amkazi kabisa na wanaweza kumaliza mwezi no sex aisee nilichoka.
Na nimejifunza mengi hapo ,kutoka kwako ,
mimi katika maisha yangu nili apa sitokuja gombania mwanamke,hata wandoa ,maana hawa viumbe wallah hawana mdhamana fanya utavyofanya akiamuwa kufanya lake ,hutomzua kabisa .