Changamoto za uke wenza

Changamoto za uke wenza

Nilikuelewa mkuu. Naomba nikwambie kitu mkuu kiumbe anayeitwa Mwanamke hachana nae kabisa hata ungemfanyia nini umfanye mpaka atoke damu mkuu ni kazi bure. Tuzidi kuomba tu yasitukute maana katika kufatilia kwangu nimeona hakuna namna unaweza kumfanya mwanamke asikazwe nje miaka yote ya ndoa yako.

Kama ilivyo kwako hata wao wanatamani sana. Nitakupa mfano. Nina Jirani yangu wake zetu waligombana kisa jirani kamtongoza wife wngu mimi nilipojua nilipuuza maana niliambiwa wamekataana na hata kama ningejua kala nilikuwa nideal na wife na hakuna namna ilikuwa ni kumuacha tu huo ndio msimamo wangu. uwezi kuamini mke wa jamaa alikomaa na mmewe ili waje kwangu kumuuliza mke wangu na walikuja usiku wa manane mie nilichukulia poa tu na mke wangu alifikiri Sikuwa nimeishaiijua hiyo issue.

Basi mme wa jamaa alishangaa alipoanza kujiapiza na wife anakazia kuwa ame mtongoza na kumuitia mashahidi mie nilibaki nacheka tu.

Siku mbili mke wa jamaa alinipigia Simu akiomba anione na tulipoona aliomba kutombwa si kitu kingine .

Nikataka nijue issue ni ile au ni kitu kingine? Kaka niliambiwa mambo mengi sana . Kumbe mme akija amelewa uwa amkazi kabisa na wanaweza kumaliza mwezi no sex aisee nilichoka.
Dah mkuu nimekupata sana tena sana .

Na nimejifunza mengi hapo ,kutoka kwako ,
mimi katika maisha yangu nili apa sitokuja gombania mwanamke,hata wandoa ,maana hawa viumbe wallah hawana mdhamana fanya utavyofanya akiamuwa kufanya lake ,hutomzua kabisa .
 
Kuchepuka ni hulka ya mtu, kama mtu ana tabia hiyo hawezi kuacha ata akiolewa peke yake. Kwasababu kabla hujaketewa bi Mdogo utakua umeshashirikishwa kwa mwanamke mwenye staha hawez kufanya hivyo lakini kama uliolewa mrad na wewe uonekane umeolewa hayo ndo matokeo yake
 
ilikuwa zaman tusemen tu ukweli.. kwa zama hz.. chips yai wa kuku wa sindano.. kurizisha wanawake wawili ni ndoto.. tena kwa ratiba.. lazima ufyate..!
 
Wanaume huwa mnajitutumua tu, ila ukweli ni kwamba hili suala hamliwezi basi tu kuiga nya ya tembo.
huhuhu hahaha hihihi hohoho

kumbeeee inabidi tujifanyie usahili mara mbili mbili je tunaqualify ? katika hili...

mimi naonelea kuwepo na vigezo maalumu vya mtu kuongeza jiko la pili
usiwe tu kiholela holela[emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
we unataka wake wengi ubadili badili flavor, ila unataka mkeo abaki na hiyo hiyo ya kwako...acha ubinafsi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

kwahiyo na ww wataka kubadilisha fleva?

basi tukutane kwenye team mabadiliko
 
huhuhu hahaha hihihi hohoho

kumbeeee inabidi tujifanyie usahili mara mbili mbili je tunaqualify ? katika hili...

mimi naonelea kuwepo na vigezo maalumu vya mtu kuongeza jiko la pili
usiwe tu kiholela holela[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Na usaili ukifanyika watakakidhi vigezo basi ni 1 kwa milioni.
Kumbuka hapa kigezo ni zaidi ya kitandani uwe na nguvu ya kiuchumi pia.
 
Kuchepuka ni hulka ya mtu, kama mtu ana tabia hiyo hawezi kuacha ata akiolewa peke yake. Kwasababu kabla hujaketewa bi Mdogo utakua umeshashirikishwa kwa mwanamke mwenye staha hawez kufanya hivyo lakini kama uliolewa mrad na wewe uonekane umeolewa hayo ndo matokeo yake
maneno kuntu kabisaaaa
 
ilikuwa zaman tusemen tu ukweli.. kwa zama hz.. chips yai wa kuku wa sindano.. kurizisha wanawake wawili ni ndoto.. tena kwa ratiba.. lazima ufyate..!
Dah mkuu mchango wako una uzito sana kwa wenye kuelewa nafkiri watakuwa wamekuelewa ,kinyume na hapo basi ubishi ni Hulka yao
 
Ubinafsi mbaya sana huu, kama wanataka kubadili flavour basi wakubali tu kuwa hata wanawake wanichoka flavour moja.
#siomimininature#
Hahahaha espy. wallah ww sio mzima unahitaji maombiiiii
 
Na usaili ukifanyika watakakidhi vigezo basi ni 1 kwa milioni.
Kumbuka hapa kigezo ni zaidi ya kitandani uwe na nguvu ya kiuchumi pia.
Ni sawa kabisa na ndomana dini ikasema kwa mwenye uwezo ,

Inamana uwezo wa kuwatimizia haja za mwili ,na mavazi na matumizi,

ila hiki kipengele kimekosa usimamizi na ndomana imefika mahali ndoa za mitala zimekuwa mwiba ...

wito wangu kwa viongozi wa dini (kiislam) waliangalie hili kwa umakini .
maana kwa sasa mtu akiwa na vijisent vya kubadilisha kauzu anaowa mke wa pili. wakati nguvu za kiume ni ndogo hata uyo mmoja hamridhishiii
 
Hahahaha espy. wallah ww sio mzima unahitaji maombiiiii
Yaani kama ambavyo huwa mnaihubiri haki sawa likija kwenye suala la pesa, mtusaidie kusambaza na ujumbe huu.
'Say no kwa flavour moja tu' ili twende sawa.
 
Ukiwakuta vijiweni na humu jf wanavyojazana upepo utafikiri imo, wakati katika hali halisi hata wake zao kuwatosheleza wameshindwa.
Na ndio ukweli wenyewe ila inachekesha aisee wanapoanza kuja na kulalamika wakati wameyasababisha wao.
 
Ni sawa kabisa na ndomana dini ikasema kwa mwenye uwezo ,

Inamana uwezo wa kuwatimizia haja za mwili ,na mavazi na matumizi,

ila hiki kipengele kimekosa usimamizi na ndomana imefika mahali ndoa za mitala zimekuwa mwiba ...

wito wangu kwa viongozi wa dini (kiislam) waliangalie hili kwa umakini .
maana kwa sasa mtu akiwa na vijisent vya kubadilisha kauzu anaowa mke wa pili. wakati nguvu za kiume ni ndogo hata uyo mmoja hamridhishiii
Si walijifanya kushindana na Mungu sasa wanaumbuka, acha wajitutumue tu. Ila ukisikia unasaidiwa kuwa mpoleee tena muheshimu mume mwenzio.
 
Back
Top Bottom