Wewe ndio akili zako ziliishia katika tamaa za kimwili maskini na ndio maana post zako zote unaongelea masuala ya mwanaume uwezo wa kugegeda hapa...... sijaona post yako ambayo umezungumzia suala la familia, bali ni mgegedo tu. Wanawake ni wengi ukiachilia mbali kuwa wanazaliwa kwa wingi, wanaume umri wa kuishi kwao kuwa mdogo kutokana na majukumu ya kidunia, mfano unakuta jeshi lina wanaume wengi sana, wanapoenda vitani wengi wanaokufa ni wanaume. Swala lako kuhusu kukosa pesa sijafahamu umekusudia kuliweka vipi, lakini nalirudisha huko huko kwako, unapokosa pesa na kwenda kuiba ni sawa na kuchepuka, ila unapokosa hela kisha ukatafuta njia nyengine ya kutimizi uloyahitaji ni sawa na kuongeza MKE (si mlupo au kahaba - ndo wizi huu). Sasa nakurudishia, we ukikosa hela kutimiza unayoyahitaji waenda nje ya njia halali za kutimiza malengo yako?