Changamoto za uke wenza

Changamoto za uke wenza

Nshakula sana hawa, ngumu kuridhisha wote wawili ni suala la kutazama jicho la tatu nmestaafu now
 
Kuridhisha wake wawili kimwili si kazi ndogo vilevile ukishakuwa na mke zaidi ya mmoja mapenzi hayawezi kuwa sawa lazima mwanamke ataenda kutafuta faraja nje
Ni tabia. Watu wameona mke na mume tu bila mitala wanachepuka. Hata huko mwanamke anapoenda mara nyingi anaenda kwa mume wa mtu. Yale yale.
 
Nilishawai muuliza dada mmoja ambaye alikuwa ameolewa mke wa pili na jamaa flani;
Hivi kwanini unachepuka wakati umeolewa?
Jibu alonijibu wallah niliishiwa nguvu,
Yule dada alisema hivi; Tatizo dushelele la foleni yeye hawezi,
dah niliishiwa nguvu sasa mpaka nikajiuliza kwanini akubali kama alikuwa hawezi kulisubiria mpaka litoke uko kwenye mzunguko.

Ukiachana na mfano huo hapo juu upo mwingine ambao nao pia ni dada ambaye najua makuzi na malezi yake, alikulia katika dini na alikuwa na msimamo thabiti katika dini, aliolewa na jamaa flani, ambaye waliishi vizuri wakafanikiwa kujenga na kuwa na maisha mazuri.

Baada ya kuwa na maisha mazuri jamaa aliowa mke wa pili na hapa ndipo timbwili lilipoanza, maana mwisho wa siku yule dada naye alitafta mtu wa pembeni kwa ajili ya kumtoa mawazo.

Jambo hili limekuwa likinichanganya sana, maana nikitazama wengi walokuwa na mahusiano na mke zaidi ya mmoja, wengi wanasaidiwa wake zao awe mkubwa au mdogo.

Nimejikuta naogopa hata ikifikia kuja kuoa wake wawili, maana wengi wanachapiwa na hawajui wanachapiwa.

Na sababu kubwa nimeiona wanayoijenga wanawake ni kuwa bwana wakuchangia hawawezi.

Sina lengo na kupingana naafundisho alokuja nayo bwana mtume, (Rehma na Amani zimshukie), ila nikitazama wanawake wa zama hizi ni mtihani kwakweli, maana kila ninapozungumza kwa hawa watu hali ni hiyo hiyo, yani kumi kwa mmoja ukute ndo mwenye kujiheshimu, maana haya mambo yanafanywa mpaka na wamama wa makamo yaani ukiwaangalia huwezi amini.

Angalizo kwa walioa wake wawili;
1;Jamani msijisahau sana iwe nyumba kubwa au ndogo basi kule ambapo utakuacha basi ujuwe watu wanakusaidia.

2;Pia ziara za kustukiza muhimu sana,maana wengi akiwa zamu ya bi mkubwa, huku kwa bi mdogo anamuacha free tu usiku kucha hata kupitia pita hakuna mpaka ifike zamu ya mchana, au kama atapita basi mchana,
Jamani kuweni makini mkitoa tu miguuu watu usiku wanakuja kulala na uzuri ratiba zenu wanazijua fika siku ambazo hampo.

Ebu wadau mkuje hapa tupeane maarifa maana mpaka nimekuwa muoga sana wakumiliki majiko mawili japo natamani sana hapo baadae, maana kwa sasa hali tete.


Nyoka_mzee unajuwa hii kitu kina baba wengi wanachukulia kiubabe zaidi kwani mara nyingi utakuta suala la kuoa mke wa pili linakuja pale mwanamme anapokuwa na uhusiano wa muda mrefu na nyumba ndogo yake kisha anahamua kumletea bi mkubwa. Jamaa penzi likimkolea huko nje ndipo anakuja kumwabia mke mkubwa kuwa nina mpango wa kuoa mke wa pili.

Mwanamke (mke mkubwa) anaumia ila anashindwa kumkatalia jamaa kwa kuwa kishahamua tayari. Kinachofuatia hapa ni kushindana kati ya hawa wanawake pamoja na kufanyiana vituko, na mara nyingi penzi linaelemea upande mmoja kwani siku zote penzi haligawanyiki.

Haki ya tendo la ndoa ni ya kila mtu hata kwa yule asiyeoa wala kuolewa kwani nyege haina hodi wala haibu....sasa mtu umeolewa kwa nini usubirie mtwangio wako urudi baada ya wiki wakati mimi niko free nyumba ya jirani? Mtihani huo.
 
Umeshakuwa katika ndoa za mitala?!


Ukweli ni kuwa hamna mwanamke anayetaka mumewe aoe mke mwingine


Kama unampenda mumeo siku akikwambia anataka kuoa mke mwingine mapenzi yatapungua kwa asilimia kubwa kama sio kwisha


Kweli kabisa....tukutane nikupe offer ya nguvu.
 
Kwa hiyo unataka kutuambia sie madereva wa Magari makubwa ambao sometimes tunakwama Congo mwezi mzima tunachapiwa? Vipi wife wa rubani nae atakuwa anachapiwa tu maana hawezi kurudi nyumbani kila siku. Mwanamke kuigawa nje ni tabia tu wala si kusema hawezi kuvumilia siku mbili mpaka zamu yake ifike.


Nyie madereva ni ngoma droo na wake zenu.....huko safarini mnachapa kama hamna akili na wake zenu wanachapwa kama hawana akili. Nyege haina mpaka, inapokujia mtu unashindwa kujizuia. Madereva wangapi wanapinduka na magari wakipiga nyeto baada ya utamu kuwakolea? Jiulize kwa nini mtu anahamua kubaka mbuzi kijijini au kuku kama akikosa demu? Au kwa nini kina Mama wanatumia ndizi na karoti kujinafasi? Nyege kwa kweli ni mfalme wa raha zote hapa duniani. Nyie kunyweni bia zenu au soda, niachieni wanawake zangu nijinafasi.
 
Usiwe muwoga mkuu ushafaham madhaifu kilichobaki ni wewe ku workout on them ila zingatia yafwatayo

1. Hakikisha unawo uweza wa kuwamudu wote kimaisha na kimapenza tembeza pweza asaaa mana apo wengi
ndo wanashindwa

2. Kuwa muadilifu kwa wake zako wote hii itasaidia sana kupunguza maneno

3. Hakikisha misingi ya dini inatawala katika family yako hii itazidisha upendo kwa wakezo. n.k
 
Nyoka_mzee unajuwa hii kitu kina baba wengi wanachukulia kiubabe zaidi kwani mara nyingi utakuta suala la kuoa mke wa pili linakuja pale mwanamme anapokuwa na uhusiano wa muda mrefu na nyumba ndogo yake kisha anahamua kumletea bi mkubwa. Jamaa penzi likimkolea huko nje ndipo anakuja kumwabia mke mkubwa kuwa nina mpango wa kuoa mke wa pili. Mwanamke (mke mkubwa) anaumia ila anashindwa kumkatalia jamaa kwa kuwa kishahamua tayari. Kinachofuatia hapa ni kushindana kati ya hawa wanawake pamoja na kufanyiana vituko, na mara nyingi penzi linaelemea upande mmoja kwani siku zote penzi haligawanyiki. Haki ya tendo la ndoa ni ya kila mtu hata kwa yule asiyeoa wala kuolewa kwani nyege haina hodi wala haibu....sasa mtu umeolewa kwa nini usubirie mtwangio wako urudi baada ya wiki wakati mimi niko free nyumba ya jirani? Mtihani huo.
Hahaha dah umeniacha hoi sana mkuu imebidi nicheke tu,

maana jambo hili huwenda watu wakalichukulia mzaha ila wake wengi za watu wanaliwa yaan kwenye kumi 7wanaliwa watatu ndo wanasalimika
 
Nyie madereva ni ngoma droo na wake zenu.....huko safarini mnachapa kama hamna akili na wake zenu wanachapwa kama hawana akili. Nyege haina mpaka, inapokujia mtu unashindwa kujizuia. Madereva wangapi wanapinduka na magari wakipiga nyeto baada ya utamu kuwakolea? Jiulize kwa nini mtu anahamua kubaka mbuzi kijijini au kuku kama akikosa demu? Au kwa nini kina Mama wanatumia ndizi na karoti kujinafasi? Nyege kwa kweli ni mfalme wa raha zote hapa duniani. Nyie kunyweni bia zenu au soda, niachieni wanawake zangu nijinafasi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

kwahiyo hao madereva ngoma drooo na wake zao ,

wao wakigegeda uko wake za watu , uku nao wake zao wanagegedwa ,
[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom