Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo nimekuelewa ulinishtua kidogo 😀Hapana wote ni wadhambi ila mume ndo ataadhibiwa zaid kwa kumsababishia huyu bibi kuchepuka.
kama wewe unasema ni mke mwenza na wewe ni mume mwenza! unawaza kuoa wanawake wawili lakini hutaki mkeo asiwe na wawili? unafikiri wanawake ni wajinga kiasi hicho?Nilishawai muuliza dada mmoja ambaye alikuwa ameolewa mke wa pili na jamaa flani;
Hivi kwanini unachepuka wakati umeolewa?
Jibu alonijibu wallah niliishiwa nguvu,
Yule dada alisema hivi; Tatizo dushelele la foleni yeye hawezi,
dah niliishiwa nguvu sasa mpaka nikajiuliza kwanini akubali kama alikuwa hawezi kulisubiria mpaka litoke uko kwenye mzunguko.
Ukiachana na mfano huo hapo juu upo mwingine ambao nao pia ni dada ambaye najua makuzi na malezi yake, alikulia katika dini na alikuwa na msimamo thabiti katika dini, aliolewa na jamaa flani, ambaye waliishi vizuri wakafanikiwa kujenga na kuwa na maisha mazuri.
Baada ya kuwa na maisha mazuri jamaa aliowa mke wa pili na hapa ndipo timbwili lilipoanza, maana mwisho wa siku yule dada naye alitafta mtu wa pembeni kwa ajili ya kumtoa mawazo.
Jambo hili limekuwa likinichanganya sana, maana nikitazama wengi walokuwa na mahusiano na mke zaidi ya mmoja, wengi wanasaidiwa wake zao awe mkubwa au mdogo.
Nimejikuta naogopa hata ikifikia kuja kuoa wake wawili, maana wengi wanachapiwa na hawajui wanachapiwa.
Na sababu kubwa nimeiona wanayoijenga wanawake ni kuwa bwana wakuchangia hawawezi.
Sina lengo na kupingana naafundisho alokuja nayo bwana mtume, (Rehma na Amani zimshukie), ila nikitazama wanawake wa zama hizi ni mtihani kwakweli, maana kila ninapozungumza kwa hawa watu hali ni hiyo hiyo, yani kumi kwa mmoja ukute ndo mwenye kujiheshimu, maana haya mambo yanafanywa mpaka na wamama wa makamo yaani ukiwaangalia huwezi amini.
Angalizo kwa walioa wake wawili;
1;Jamani msijisahau sana iwe nyumba kubwa au ndogo basi kule ambapo utakuacha basi ujuwe watu wanakusaidia.
2;Pia ziara za kustukiza muhimu sana,maana wengi akiwa zamu ya bi mkubwa, huku kwa bi mdogo anamuacha free tu usiku kucha hata kupitia pita hakuna mpaka ifike zamu ya mchana, au kama atapita basi mchana,
Jamani kuweni makini mkitoa tu miguuu watu usiku wanakuja kulala na uzuri ratiba zenu wanazijua fika siku ambazo hampo.
Ebu wadau mkuje hapa tupeane maarifa maana mpaka nimekuwa muoga sana wakumiliki majiko mawili japo natamani sana hapo baadae, maana kwa sasa hali tete.
what if nawaoa halafu wote nawaweka nyumba moja
kati ya hao wanne mmoja wapo ni weweLabda wawe lesbians..
Roho imeniuma sana sanaShoga angu subiri uendelee kuwa nae halafu uje kujua alikua anakudanganya na ushafall in love.
Niko kwenye situation hiyo na nampenda huyu kaka kufa ila ana gf na alinidanganya he's single. Nimekuja shtuka ana gf na anaishi nae jamani. Napambana kumuacha ila nashindwaaa.
Njoo twende Kicheba kwa yule mzeeShoga angu subiri uendelee kuwa nae halafu uje kujua alikua anakudanganya na ushafall in love.
Niko kwenye situation hiyo na nampenda huyu kaka kufa ila ana gf na alinidanganya he's single. Nimekuja shtuka ana gf na anaishi nae jamani. Napambana kumuacha ila nashindwaaa.
So anarud daily toka USA ili uwe naye ama sijakuelewa?Hebu tuambiane mlio katika ukewenza ,mmewezaje?mimi siwezi maana nataka mwanaume awe na mimi muda wote na nikimpenda mwanaume awe karibu yangu kila saa kila muda,na ninataka kila saa anipe mambo sasa ukewenza nyie mnawezaje hamna hamu au?inakuwaje,
Akili yangu inajua nna mme halaf asilale kwangu akalale kwingine ,nnaishi na mwanaume lazima anipe mambo muda wote nikitaka au akitaka nampa,,nikifikiria tu kama ni ukewenza yupo na mke mwingine nahisi nyege ajabu nataka itakuwaje[emoji23]
Basi kila mmoja atajifanya hajui ukewenza semeni ukweli mlio na wakewenza tupeni ustahimilivu ikitokea na sisi tujue namna ya kurekebisha,maana sioni dalili hata ya kuwaza kumuacha G,ndio kwanza penzi linaninogea kila sehemu,zamani niliokota kokoto sasa nimeokota dhahabu nadekezwa,naringa,napendwa mpaka najisikia raha na furaha
Roho imeniuma sana sana
dah kweli upele humuota asiye na kucha
We subir upandishwe cheo uwe bi mkubwa ndio utajua wenzio wamewezajeHebu tuambiane mlio katika ukewenza ,mmewezaje?mimi siwezi maana nataka mwanaume awe na mimi muda wote na nikimpenda mwanaume awe karibu yangu kila saa kila muda,na ninataka kila saa anipe mambo sasa ukewenza nyie mnawezaje hamna hamu au?inakuwaje,
Akili yangu inajua nna mme halaf asilale kwangu akalale kwingine ,nnaishi na mwanaume lazima anipe mambo muda wote nikitaka au akitaka nampa,,nikifikiria tu kama ni ukewenza yupo na mke mwingine nahisi nyege ajabu nataka itakuwaje[emoji23]
Basi kila mmoja atajifanya hajui ukewenza semeni ukweli mlio na wakewenza tupeni ustahimilivu ikitokea na sisi tujue namna ya kurekebisha,maana sioni dalili hata ya kuwaza kumuacha G,ndio kwanza penzi linaninogea kila sehemu,zamani niliokota kokoto sasa nimeokota dhahabu nadekezwa,naringa,napendwa mpaka najisikia raha na furaha
kati ya hao wanne mmoja wapo ni wewe
Mi wangu ni tofauti kabisa,soon tunaishi wote na ndugu wanajua wote pande zoteShoga angu subiri uendelee kuwa nae halafu uje kujua alikua anakudanganya na ushafall in love.
Niko kwenye situation hiyo na nampenda huyu kaka kufa ila ana gf na alinidanganya he's single. Nimekuja shtuka ana gf na anaishi nae jamani. Napambana kumuacha ila nashindwaaa.
Muda wowote akitaka nipo nae ,habebi box mme wanguSo anarud daily toka USA ili uwe naye ama sijakuelewa?