Changamoto za uke wenza

kama wewe unasema ni mke mwenza na wewe ni mume mwenza! unawaza kuoa wanawake wawili lakini hutaki mkeo asiwe na wawili? unafikiri wanawake ni wajinga kiasi hicho?
 
Hebu tuambiane mlio katika ukewenza ,mmewezaje?mimi siwezi maana nataka mwanaume awe na mimi muda wote na nikimpenda mwanaume awe karibu yangu kila saa kila muda,na ninataka kila saa anipe mambo sasa ukewenza nyie mnawezaje hamna hamu au?inakuwaje,

Akili yangu inajua nina mume halafu asilale kwangu akalale kwingine ,ninaishi na mwanaume lazima anipe mambo muda wote nikitaka au akitaka nampa,,nikifikiria tu kama ni ukewenza yupo na mke mwingine nahisi nyege ajabu nataka itakuwaje[emoji23]

Basi kila mmoja atajifanya hajui ukewenza semeni ukweli mlio na wakewenza tupeni ustahimilivu ikitokea na sisi tujue namna ya kurekebisha,maana sioni dalili hata ya kuwaza kumuacha G,ndio kwanza penzi linaninogea kila sehemu,zamani niliokota kokoto sasa nimeokota dhahabu nadekezwa,naringa,napendwa mpaka najisikia raha na furaha
 
Shoga angu subiri uendelee kuwa nae halafu uje kujua alikua anakudanganya na ushafall in love.

Niko kwenye situation hiyo na nampenda huyu kaka kufa ila ana gf na alinidanganya he's single. Nimekuja shtuka ana gf na anaishi nae jamani. Napambana kumuacha ila nashindwaaa.
 
Roho imeniuma sana sana
dah kweli upele humuota asiye na kucha
 
Njoo twende Kicheba kwa yule mzee
 
So anarud daily toka USA ili uwe naye ama sijakuelewa?
 
We subir upandishwe cheo uwe bi mkubwa ndio utajua wenzio wamewezaje
 
Mi wangu ni tofauti kabisa,soon tunaishi wote na ndugu wanajua wote pande zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…