Changamoto za uke wenza

Kama kweli wewe ni muislamu kamili alikamilika na kutarajia kwenda peponi, uke wenza harali kama hauelewi basi jihebu wewe ni maamuma na pepo utaisikia tu.

Na kutaka mambo muda wote ni dalili za uroho
 
Kama unampenda kumuacha ni ngumu na hasa kama ye anakupenda pia.Kuna muda inabidi vitu vingine tujifanye hatuvioni
 
Kikubwa usimpe mtu moyo wako wote aisee. Wanaume ni waongo sana ukishanogewa ndo unajua ukweli. Kikubwa ukiwa na mahusiano jijengee mko wengi Pata raha yako chapa lapa as long as ni nguvu zake hata akiwa na kumi atajiju yeye
 
Ohoooooo!! Ndo yule ulisema wa jf? Pole sana mwaya.

Huwa sielewi kabisa hii ya kudanganya, tena wengine unakuta ameoa kabisa na anakana hajaoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…